Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,791
1. Nikiwa katika mazingira ya kuhukumiwa, katika mazingira yasiyo rasmi kutolewa hukumu(mahakama)
Ni kana kwamba nilikua kifungoni(mahabusu) nikisubilia Hukumu itakayosomwa huko mahakamani/nikaangalia mazingira yale ni kama nimeshikiliwa mateka nikiwa sijui nini kitafuatia.
2. Wakaja watu wawili mwanamke na mwanaume wakiwa na maagizo ya nini chakunifanya/kitafuatia, basi wale watu wakanisogelea na kunisomea hukumu kuwa hukumu yangu ni kifo, nilihamaki nikiwa njia panda kimawazo nikaambiwa kwanini nahukumiwa hukumu hiyo Mashtaka niliyosomewa yalinishangaza kwani yalikuwa mepesi na hayaendani na huku ya kifo.
3. Nikiwa nataka kujua wananihukumu kwa kifungu kipi cha sheria mambo yakawa yananizonga na ilionekana kuna kifungu kinanifunga na sikutegemea kama kwa kosa lile jepesi vile lingepelekea hukumu ya kifo.
4. Nilikua natapatapa kutafuta watu wa kunisaidia nikawaza je niwasiliane na rafiki yangu au kaka yangu kwa njia ya simu.
5. Muda ulisogea ikafika wakati wa hukumu nikaona wanaokuja na njia ipi inafaa kuondoa uhai wangu kila njia wakiitaja nilikua nawakatalia muda ukiwa unaenda huku nikiwa nahangaika nisiamini kinachonitokea, wakanilazimisha wakachukua kidole changu wakachukua sindano mithiri ya kuchukulia kipimo cha malaria au ile sindano ya kushonea nguo kwa mkono, wakawa wanaisugulia/wanaipakaza kule kwenye ncha katika kitu kama kidoge cha dawa sikujua ni Dawa gani.
Wakachukua kidole changu wakanitoboa na kuichomemachomeka ile sindano kama wanatoa funza vile.
6. Baada ya hapo wakaniachia nikiwa mule mule ndani nasubilia mabadiliko ya hali ya mwili lakini sikuona mabadiliko yoyote.
*Sijajua nini kiliendelea baada ya hapo.