Mfuatiliaji
Senior Member
- Jun 5, 2008
- 153
- 34
tunangoja kabisa
Tutakuja hapa jukwaani Makamanda!
Shaka ondosheni!
Fanyeni haraka jamani presha inapanda na kushuka.
Kosa litakalofanywa ni kumhujumu Lema, hapo ndiyo ccm itaendelea kuporomoka kuelekea waliko akina KANU.
Niko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi

Nasikia hakimu hajapata usingizi usiku mzima: Source mke wake.
kaza butiNiko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi