Ungeanza kueleza kwanza "taarifa hizo zinazosambaa".Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Hakuna mtu mwenye authority ya kumfukiza mtu toka nchi aliyozaliwa aliyopewa na Mungu unaweza kumwambia mgeni aondoke sio raia akarafute asylum! Anayetafuta kaamua mwenyewe sio kwa amriMh.TAL ataachiwa for free huku akiambiwa aende kutafuta asylum,
Wengi wanatarajia Lisu kunyongwa au kufungwa maisha Hilo futeni akili mwenu
Lissu ataachiwa huru December katiTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Bahati mbaya zaidi JF kuna kundi kubwa la watu linaloweza kuchotwa kirahisi kwa uwongo Mfano ONTARIO na Forex, yoga na uzi wa Dark days kuhusiana na kifo cha MagufuliUngeanza kueleza kwanza "taarifa hizo zinazosambaa".
Kurukia tu kuanza kuweka maneno yasiyokuwa na msingi wowote hilo ndilo linalofanya maandishi yako mengi yakose maana.
Hapa huna tofauti yoyote na mbashiri hata asiyejuwa lolote!
Ajabu ni kuwa tayari watu zaidi ya 1K wameona wachungulie kilichomo ndani ya mada isiyokuwa na miguu wala kichwa. Hili ndilo linalokufurahisha?
Hii nayo imekuwa biashara!
Anyways hichi ndicho pia nilichotaka kukiandika huyu hana utofauti kabisa na wabashiri wengine Ila ndio hivyo watu huwaambii kitu kuhusina na jamaa.Hapa huna tofauti yoyote na mbashiri hata asiyejuwa lolote!
Umeandika kwa kifupi sana na wala haifahimiki, akitokea mtu ktk mitandao akiandika kwa urefu, utasema na wewe ulikusudia hivyo hivyo lkn watu wakakuzarauTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Ni nani huyo atakaye idhinisha kwa kutia sahihi adhabu ya kifo ? Huyu huyu aliyetoa amri ya kuua waandamanaji waliotaka kumpindua? Nadhani bado ni matumizi mabaya ya mamlaka na vyombo vya Dola. Yote yasingetokea na kufikia hapa kama wanasiasa wangetekeleza mambo ya kisiasa inavyopaswa. 😡Nani anayetarajia lissu kunyongwa,mara ya mwisho mru kunyongwa tz ni lini?
Kuna Mahakama ya Rufaa, naamini HAKI itapatikana tu kwa Lissu.Kwa ushahidi wa kutengeneza na walimkuta na kesi ya kujibu lazima wahuni watanhukumu ili kufurahisha nafsi zao hakuna ishu ya kumuachia huru wakati malengo yao sio hayo kwa akili ya kawaida tu ilikua ngumu kuendelea na kesi ambayo haipo eti watu wanapiga doria na defender mtandaoni.