Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,135
- 15,912
Lumumba kungekuwa na mwenye akili nchi isingekuwa hapa ilipo.Lumumba wanajua kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana
Hukumu ya TL itawashangaza wengi
Wapiga ramuliTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Mabingwa wa ramli. Hatimaye mmoja atapatia na wenzake watamuona mjaaaaaaaanja!Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Lissu hatothubutu kuachiwa kwa masharti ya wauaji na watekajiMh.TAL ataachiwa for free huku akiambiwa aende kutafuta asylum,
Wengi wanatarajia Lisu kunyongwa au kufungwa maisha Hilo futeni akili mwenu
ok.Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Hint inaangukia kwenye kila uwezekano unaoutarajiaMleta mada anasema anazishangaa habari zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu.
Wewe umesema “Lumumba watatushangaza”
Hizo taarifa “zinazosambaa”, siyo kwamba ndo kigezo cha kusema hayo ndo matarajio ya wengi.
Kuna wengi wanaamini hatakutwa na hatia. Kuna wengine wengi pia wana mwelekeo wa “habari zinazosambaa”
Sasa kama ni vitu viko mtaani na kwenye mitandao kwanini tena utoe hints? What’s the reason?
GIVE REASONS IN BRIEF....TWO LINESTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Hii nayo ni mada au message unamiandikia mke/mmeo muende lunch?Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Itakuwa kama hii ya kila chawa wa ccm akisimamana kutaka kumsafisha Samia, utasikia anasema Samia alipoingia tu madarakani aliwarudisha waliokimbia nchi. Yaani wanasema hivyo kuonyesha ni kama walifukuzwa nchini, ama sio raia hivyo amewafanyia hisani kurudi nchini.Hukum itakuwa hivi.. Majaji watamhukum Lisu hukum ya kifo lakini hapo hapo wa kesi itafutwa kwa amri ya Samia kujifanya yeye ndiye aliyemuokoa na hukum ya kifo.
kiongozi naomba nenda kaupitie huu uzi kutoka kwa Prof https://www.jamiiforums.com/threads...nanchi-na-ukombozi-wa-bara-la-afrika.2484579/Kwanza kabisa hakukua na keso pale.
Hii ndio comment yangu na nilijua lazima iwepo.Lumumba kungekuwa na mwenye akili nchi isingekuwa hapa ilipo.
Baada ya massacre ya 29 October 2025, kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kuachia Lissu anyongwe. Only a mad person can allow thatTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Tunakuaminia kachero yetu macho na masikioTaarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca