zee la weza
Senior Member
- Feb 7, 2012
- 190
- 29
Wana JF(majembe), nimefuatilia hukumu ya lema iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakabalira na kuona kwamba kuna vipengele viwili vifuatavyo;
Illegal campaigns(kifungu 108),kama mbunge wakati wa kampeni za uchaguzi alimtukana au kumdharirisha mpinzani wake au kutukana tume ya uchaguzi, adhabu yake ni kuvuliwa ubunge lakini anaruhusiwa kugombea tena kwenye uchaguzi mdogo utakaoitishwa.
Illegal practices(kifungu 114), kama mbunge wakati wa kampeni za uchaguzi alijihusisha na vitendo vya rushwa, adhabu yake ni kuvuliwa ubunge na haruhusiwi kugombea ubunge tena mpaka miaka 5 au 10 ipite ndipo anaruhusiwa tena kugombea.
Lakini cha kushangaza LEMA alihukumiwa kwa kutumia kifungu cha 114 wakati yeye kosa lake halihusiani na rushwa, nimejitahidi kutafuta hivyo vifungu kwenye katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tz ya 1977 ili nivisome vizuri, lakini sjaona hivyo vifungi, tafadhali makamanda anayejua hivyo vifungu vilipo anijulishe, yaani nina hasira sana na hukumu batili ya kamanda wetu lema.
"Nawasilisha kwenu ma- great thinkers"