Huku wataka na kule wataka.....

Labda alimuzima kiwalo sasa amegoma kurudisha. Nadhani hapo wamekutana maeneo ya Pweza mitaa ya tanga kunani kama sii Chichi maana hayo mandhari yanaelekeana kiasi fulani
 
nikiiangalia hii picha wanayopigana naona uchungu sana maana huyo mmoja anaonekana kuzidiwa sana, kwa inavyoonekana mwenzie anamchojoa nguo moja baada ya nyingine naye ndo kazinduka baada ya kuona papa yupo karibu kuhutubia kadamnasi.wadada wanasikitisha kweli.

hahahaahha.......kumbe ndio maana anaitwa papa au kipapa
 
Back
Top Bottom