Huku US hakukaliki

Maandamano ni character ya US. Ni tabia ya watu wanaopenda uhuru.

Nchi yenyewe ya leo imeanzishwa kwa watu kuandamana kutoka Ulaya kuja Marekani. As a political protest against Europe's hierarchical life and lack of freedom.

Nitashangaa mwaka ambao US kutakuwa hakuna maandamano.

Marekani hata kwenye familia watoto wanaweza kuandamana kupinga udhalimu wa baba yao.

Ukishangaa maandamano Marekani utajionesha tu kuwa huijui Marekani.
 
Maneno yanaumba
Tunawakaribisha Wamarekani wanaokandamizwa na Trum tuwape hifadhi ya ukimbizi Tandale kwa mfuga mbwa,
uchumi wetu unakua kuliko wa marekani na demokrasia yetu imeshamiri kama kuliko ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…