It is not issue ya ubongo mzito. Kama hujawahi soma post zake huwezi kujua ana maanisha kuunga mkono serikali au anaipinga. anaandika kama kuegemea serikali kama huji utaamini hivyo.kama una ubongo mzito,! mi huwa namwelewa haraka sana kwakweli
It is not issue ya ubongo mzito. Kama hujawahi soma post zake huwezi kujua ana maanisha kuunga mkono serikali au anaipinga. anaandika kama kuegemea serikali kama huji utaamini hivyo.kama una ubongo mzito,! mi huwa namwelewa haraka sana kwakweli
KATUKANAVP na Naibu supuka wote walibembwa hawawezi kwenda kinyume na bwana mkubwa japo ukweli wanaujua, shida ya bwana mkubwa amekulia kwenye mfumo dume. Angalia Halima Mdee yupo polisi kisa katetea watoto wa kike.
Taja hilo tusiKATUKANA
Mkuu jamaa ukimsoma juujuu unaweza usimwelewa ana uandishi wa kimakinikia,ukiangalia kwa nje unaona mchanga,lakini ukitia kwenye kinu cha kuchenjulia utakutana na zahabu,shaba na madini mengine.read between the lines
Nakuunga mkono, hilo taifa limekuwa na kasumba ya midia zake kuchafua sifa ya nchi yetu na wakati mwingine kutembelea nyota yetu. Kwa hili serikali isiwe proactive
Mimba za utotoni sio dhambi?Ndo ukweli wenyewe....huo Mimba sio Zambi zenyewe....
Nadhani Mayala,anajaribu kuwianisha uhuru wa vyombo vya habari na ule wa kutoa maoni baina yetu na nchi za nje pamoja na zile za jirani pamoja na ukimya na uoga wa kukosoa ambao tunao kwa sasa.Mkuu mimi nimemwelewa sana ndiyo maana nikamwambia amebadilika/amekuja kivingine, najua amemaanisha nini lakini swala la msingi ni kwamba kila kinachoandikwa nje ni kweli tupu.
Kwani kama VP ni mwanamke ndo hawezi kuwa anakubaliana na "hatusomeshi wazazi"?Mkuu hili swala kila mtu ana namna anavyoliona. Na kwa vile Mkuu wa Kaya keshatoa tamko..amehitimisha mjadala. Kama tungekuwa na bunge la maana (achana na hili ambalo ni useless na ndiyo mzee), we could have our efforts directed through the bunge. Kupitisha sheria (hata kama JPM angekataa kuipitisha), lakini atleast angejua kwamba people are not with him kwenye hili.
Nilishangaa sana kuona hata VP ambaye ni mwanamke, Naibu Spika ambaye ni mwanamke walishindwa hata kutoa kauli kuhusu hili la mimba.
Again, as usual in Africa when we eat we don't talk!