Huku sasa kumeingilika na nini?

Hivi kweli ndio umegoma kunisamehe kabisaaaaa!!!
Nisamehe basi nawe uingie mbinguni.
Alafu yaani unisamehe vyote vyote[emoji85] [emoji85] [emoji85]
7*70=490...We hata 3 hujafikisha...Ila mbinguni mbona nasikia kumeshajaa???..Au ni fitna tu za Walimwengu?
 
Kubadilibadili ID kuna faida na hasara zake pia. Leo nimen'gamua hasara kubwa!....sijui nifufue ID yangu ya zamani!!! Kkhhaa, ishakuwa taabu sasa,
 
7*70=490...We hata 3 hujafikisha...Ila mbinguni mbona nasikia kumeshajaa???..Au ni fitna tu za Walimwengu?
Ni fitna zao tu, nafasi bado ziko teleeee!
Kwahiyo umenisamehe si ndio?
 
kutwa kwenye mitandao hebu mree wajukuu zenu tulo wazaa
 

Nipo Bestito, naogopa sana hili Jukwaa, kuna siku niliweka Post moja kama ambayo wageni wasionijua wasingeweza kunielewa kutokana na lugha ninayotumia...

Nuilishambuliwa nikatoka Baruti, wale wote tunaojuana humu sikuwaona nikaambulia mawe mfululizo.
 
ha ha ha ha kati ya wotee walo reply hapa nimecheka kwakweli.

kwahiyo walikutana na kitu cha old skuli au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…