Huku ni kutoheshimu chakula

Huku ni kutoheshimu chakula

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1425230920836.jpg
 
Umenikumbusha vifaranga wangu bandani sjui wanapekua nini wakati chakula kipo kwenye sinia...!.
 
Kuna watu hata mlo mmoja hawapati wengine wanachezea chakula haya.
 
Nina majonzi

Kuna watu hata mlo mmoja hawapati wengine wanachezea chakula haya.

Thats very bad hebu tuheshimu chakula jamani!

Nimejifunza kuwa chakula ni ibada na ni mojawapo ya jambo liwakusanyalo watu au familia wakalifanya pamoja
Ndio maana kuna baadhi ya tamaduni huita muda wa chakula kama muda wa kikao cha ndugu/familia
Sehemu nyingine zote tunaweza kuwa huru tutakavyo lakini kusali/kuswali na chakula vina taratibu zake
 
Naam!Mshana jr ukishiba unakiita makombo lakini kijana hataki kutengana nacho!
Ngekewa chakula hakipaswi kuwa na makombo/mabaki...! Tunatakiwa tuwe wa bajeti mfano mko wangapi mnakula kiasi gani! Kipikwe/kiandaliwe kulingana na uwiano huo! Na ikitokea kikasazwa/kikabaki basi kihifadhiwe vema

Tuwafundishe watoto wetu kukithamini na kukiheshimu chakula apakue kipimo anachomaliza hii inasaidia hata kujenga discipline ya akili na pia kupunguza adha ya kusafisha vyombo
 
Last edited by a moderator:

Lakini huyo mjukuu wetu hajafikia hapo. Hiyo ni appreciation yake!
 
Nionavyo hiyo photo siyo nzuri....naweza sema inaonesha jinsi wazazi wa huyo mtoto walivyo careless kumuacha mtoto wa umri huo kula chakula peke yake,huwezi juwa ameshiba au anaweza kubanwa na mfupa au nyama.Umri wake ni mdogo hajui afanyalo.
 
Back
Top Bottom