Ahh sijatamani aiseee ungeniweke mnofu wa nyama ya kuchoma hapo au jisamaki lazima udenda ungenitoka!
Nimekukamata leo wanisema mie mroho wa samaki kumbe na wewe hujambo
sungura1980 siku ukitupikia hiyo mihogo itabidi ununue samaki wengi tusije kamatana mikono wakati wa kula lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Last edited by a moderator: