Huku ni kumdhihaki Mungu

Huku ni kumdhihaki Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409508688383.jpg
 
Mshana jr.
Picha yako haina maelezo ni wapi na wanani hao may be ni ma dj tu hao
 
Mangatara ni picha ya makanisa ya siku hizi angalia na hii ya ndoa ya binadamu na mbwa1409509170200.jpg
 
Mangatara ni picha ya makanisa ya siku hizi angalia na hii ya ndoa ya binadamu na mbwaView attachment 181877

mshana jr;Nashukuru kwa maelezo yako hayo mazuri sana na ya wazi. Ila naomba nikuulize kidogo swali tu la kizushi. Kwako weye, KANISA ni nini? Je, Darasa la shule laweza kuwa kanisa?? Hao wana ndoa, ndo kanisa au jengo lao ndo kanisa? Maswali ni mengi mshana jr lakini jibu rahisi tu ni kuwa KANISA si jengo.
Ukiisha jua hilo, utafahamu kuwa, hayo yoote yalifanywa kinyume na Mungu hivyo hao wamesha amua kupambana na Mungu. Sasa, kama wamelogwa na kupambana na Mungu aliye hai, yeye ndo atawajibu. Sisi yetu ni macho. Kule kwetu kuna kausemi kuwa; Kwa mwoga huenda kucheko lakini kwa shujaa, kilio. Nakushauri; usimjaribu Mungu by all means.
 
Hakika walicheza kibwigu na kimdang'alu mchezo tulikuwa tuna cheza kule kwetu kasanga Ufipani
 
Hiyo ni mojawapo ya ibada unasema kumdhihaki Mungu kivipi wewe? umesha wahi kwenda katika makanisa ya walokole wewe uone wanavyofanya mambo yao? Mkuu mshana jr inaonyesha wewe sio Mkristo?
MziziMkavu Mimi ni mkristo mlutheri hasa . ninaamini kuna njia Sahihi ya kuwasiliana na Mungu kwa kuwa tunaambiwa kuwa Mungu wetu Sio Mungu wa dhihaka
Maneno yake yanasema twende mbele zake kwa heshima na unyenyekevu lakini siku hizi tunafanya hivyo kweli?
Nimelelewa katika maisha ya kumheshimu na kuwa na hofu na Mungu kwa hali yeyote ile hatuwezi kufanya mizaha yeyote tunapotaka kuwasiliana naye kwa njia yoyote ile
Ukiingia jukwaa la dini utanisoma vema, nilishawahi pia kuandika kuhusu viduku kanisani na uimbaji usiomtukuza Mungu
 
Last edited by a moderator:
mshana jr;Nashukuru kwa maelezo yako hayo mazuri sana na ya wazi. Ila naomba nikuulize kidogo swali tu la kizushi. Kwako weye, KANISA ni nini? Je, Darasa la shule laweza kuwa kanisa?? Hao wana ndoa, ndo kanisa au jengo lao ndo kanisa? Maswali ni mengi mshana jr lakini jibu rahisi tu ni kuwa KANISA si jengo.
Ukiisha jua hilo, utafahamu kuwa, hayo yoote yalifanywa kinyume na Mungu hivyo hao wamesha amua kupambana na Mungu. Sasa, kama wamelogwa na kupambana na Mungu aliye hai, yeye ndo atawajibu. Sisi yetu ni macho. Kule kwetu kuna kausemi kuwa; Kwa mwoga huenda kucheko lakini kwa shujaa, kilio. Nakushauri; usimjaribu Mungu by all means.

Sahihi kabisa mangatara kanisa Sio jengo lakini tunahitaji sehemu rasmi ya kukutana kwa ajili ya kuonyesha uchaji wetu kwa Mungu
Kumbuka maneno ya Mungu yanasema hivi: wakutanapo wawili au watatu kwa ajili yangu nami nipo katikati yao. Kwahiyo lazima tuwe na sehemu rasmi ya kukutana wote na hapo ndio huzaliwa neno kanisa au kanisani
Kwahiyo sehemu kama hiyo ina utaratibu na mpangilio wake tofauti na ndio maana majengo haya tuyaitayo makanisa huwekwa wakfu kabla ya kuanza kutumika
Mimi ni mhudhuriaji wa Ibada nyingi tofauti na za dini tofauti pia nimesali Mpaka Ibadan za mashetani
Ninachotaka kusema haya makanisa ya leo hayana mpangilio na yamejaa mihemko watu wanacheza wanakatika wanaruka wanachekacheka utafikiri wako kilabuni au kwenye starehe za kidunia
Ukiangalia Ibada ya kikatoliki kwa mfano halafu na mojawapo ya haya makanisa ya kileo utaona tofauti kubwa
 
mshana jr;
Naomba nikukatalie sehemu sehemu; Mfanao and I quote yu;

Ukiangalia Ibada ya kikatoliki kwa mfano halafu na mojawapo ya haya makanisa ya kileo utaona tofauti kubwa.
Hicho unacho angalia hapo ni nini? Kule kukaa kimya saana na kumngoja Padri aoungoze au ni ule uvumba unao nyunyizwa? I have also been into so many houses mnazo ziita makanisa. Mengi sana short of hilo ulilosema la mashetani ambapo singependa hata kwenda kuchungulia humo kwani wameshaniambia kuwa humo ibaada yao ni ya kishetani. Nasema sintamjaribu shetani miye.
Lakini, Ibaada, si litrujia. Haisomwi, haiandikwi wala haielekezwi na mtu. Yaonesha weye ni Mkristo, hivyo when I talk of the Holy Spirit, unaelewa ni nini. Acha Roho Mtakatifu akuongoze na Ibaada itakuwa safi sana.
Tukirudi kwenye mada yetu. Hao mashetwani yana mambo yake. Tukitoka tu ibaada, wao wanaanza ya kwao. Mara nyingi, nyumba zetu za ibaada zipo wazi ili watu waweze kuingia na kusema na Baba yao wa Mbinguni. Hivyo nao hao hujihudhurisha pale saa zao wafanya yao.
Angalia hiyo picha ya harusi ya mbwa. Umeona kusanyiko??? Ni wazi kabisa, walivizia hakuna mtu, wakaingia na kuigiza Ibaada zao hizo.
Baada ya ibaada, ile nyumba ni kama nyumba nyingine tu. Yaweza kuwa hoteli au duka, na kwa hao katoliki, na hapa wanisamehe, yaweza kuwa baa. Nimeona wakifanya hivyo na asitokee mtu akanibishia kwani mimi ni mkatoliki tena mzuri tuu.
 
mangatara sipingani nawe kabisa ila navutika sana na vitu vyenye mpangalio hasa linapokuja suala la kuwasiliana na Mungu wangu kwa kuwa maandiko yanatufundisha namna ya kusali na tusiwe watu wa kupayukapayuka kama mataifa
Kuongea na Mungu kunahitaji utulivu wa mazingira na akili pia na napenda sana ibada zinazoendeshwa kwa mfumo huo
 
mshana jr.
Kweli katika watu wenye kuhitaji msaada, weye unaongoza. Hivi kwako weye ni kitu gani? Ni jitu fulani lenye kutisha saana linalotakiwa kufungiwa ndani ya kijumba fulani na kuachwa huko ili watu tuendelee na mambo yetu? Huyo ndo Mungu wa wakatoliki. Tunamfungia kwenye kabanda kadogooo mpaka tutakapotaka kuja tena kumtoa na kumwabudu. Polee.
Mungu ni baba yetu, Mungu kwetu sisi ni watoto wake. Wanafunzi walipomwomba Bwana Yesu awafundishe kuomba, hakuwafundisha bali aliwaelekeza wa kumwomba na namna. Hakuwafundisha sala. Ukienda kusali, jua unazungumza na Babako weyeeee.
Mungu wetu hatishi watoto wake, hawafokei watoto wake, hawatupi watoto wake. Alitupenda kiasi kwamba hata tulipokuwa wadhambi akamtoa mwanaye wa pekee afe msalabani kwa ajili yetu. Mwenye haki kwa ajili ya waovu. Mwamini na kubali mpango huo. Ukiomba uombe kwa Baba yako si kwa Mumiani wenye kiu ya damu za watu.
 
Ninacho amini mimi Sisi wote tulio hai hapa duniani, Hakuna anayemjua mungu. Hakuna aliye ongea na mungu. Huwa napata taabu sana ninapoona mtu anaacha kumuomba na kumshukuru mungu, nakuanza kuzodoa jinsi Mwenzie nanavyo muomba mungu. Hakika kama unajifanya unamjua mungu lakini pia unakejeri uombaji wa mwenzako, naamini unapoteza muda mwingi kutenda dhambi. Nafsi yangu siwezi kukaa nabishana masuala ya dini nikiwa namtu ambae siyo dini yangu maana lazima tapata dhambi. Mkrusto anapo mcheka muislam et anagonaka(kusujudu) , anakua hayupo sahihi. Pia muislam anapo mkejeri mkristo et ana sujudu sanamu, anakua hayupo sahihi. kikubwa ni kuheshimu kitu anacho abudu nwenzako na kukazana kufanya kile ambacho wewe unakiamini. kama unaona mwenzako hayupo sahihi,Umshawishi bila kukashifu anacho kiamini.
 
mshana jr.
Kweli katika watu wenye kuhitaji msaada, weye unaongoza. Hivi kwako weye ni kitu gani? Ni jitu fulani lenye kutisha saana linalotakiwa kufungiwa ndani ya kijumba fulani na kuachwa huko ili watu tuendelee na mambo yetu? Huyo ndo Mungu wa wakatoliki. Tunamfungia kwenye kabanda kadogooo mpaka tutakapotaka kuja tena kumtoa na kumwabudu. Polee.
Mungu ni baba yetu, Mungu kwetu sisi ni watoto wake. Wanafunzi walipomwomba Bwana Yesu awafundishe kuomba, hakuwafundisha bali aliwaelekeza wa kumwomba na namna. Hakuwafundisha sala. Ukienda kusali, jua unazungumza na Babako weyeeee.
Mungu wetu hatishi watoto wake, hawafokei watoto wake, hawatupi watoto wake. Alitupenda kiasi kwamba hata tulipokuwa wadhambi akamtoa mwanaye wa pekee afe msalabani kwa ajili yetu. Mwenye haki kwa ajili ya waovu. Mwamini na kubali mpango huo. Ukiomba uombe kwa Baba yako si kwa Mumiani wenye kiu ya damu za watu.

Asante kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom