Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Wakati yananunuliwa serikali ilikuwa wapi?Kitu sielewi ni kwamba hayo magari ni yamatumizi yao binafsi au matumizi ya serikali?
Kama ni matumizi binafsi inawezekana mtu ashindwe kusave m200 + mkopo amiliki gari ya 270m
Hili ni jambo lakushangaza piaWakati yananunuliwa serikali ilikuwa wapi?
Haya yanayotumiwa na wakuu wa wilaya na wakurugenzi yatapelekwa wapi? na kwa nini iwe sasa hivi?Nafikili Kama serikali imeshutuka juu ya mav8 suala sio wajieleze bali nikuyapiga marufuku yatumike na viongozi wakuu mfano
Marais,waziri mkuu basi
Wengine watumie magari ya Kati zikiwemo na pickup,
Kitu usichokijua ni hii kauli ya kuwa mkuu wa kaya anafanya kila jambo, na wamekuwa wakimtuhumu kwamba amekuwa one man show,Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la mwananchi,nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wagurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze...
Ni kwa matumizi ya serikali.Kitu sielewi ni kwamba hayo magari ni yamatumizi yao binafsi au matumizi ya serikali?
Hiki ni Kipindi cha mwisho cha Awamu ya Tano kuwa madarakani na Wakurugenzi watakaosimamia Uchaguzi ujao kama watapewa magari mazuri, nyumba nzuri na Mishahara mkubwa watapewa na Awamu ya Sita kuwa hiyo kwa Waziri Mkuu hata wakipewa Bajaji sawa tu maana kazi ya kutangaza ushindi wa CCM walimaliza.Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la mwananchi,nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wagurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze...
Tatizo la msingi ni mfumo. Ukishakuwa na wakurugenzi ambao pia ni wasimamizi wa uchaguzi, na walishaelekezwa kuvunja Katiba na Sheria, kwamba kazi yao namba moja ni kuhakikisha bosi wao na chama chake wanashinda "ushindi wa kishindo", na wakiishatekeleza hilo, unawezaje kutarajia "maadili" kutoka kwao?Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la mwananchi,nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wagurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze..
Eti Serikali imeshtuka unajua yameanza kununuliwa lini? kama siku zote hizo mpaka leo ndio wanashtuka basi kazi ipoNafikili Kama serikali imeshutuka juu ya mav8 swala sio wajieleze bali nikuyapiga marufuku yatumike na viongozi wakuu mfano
Marais,waziri mkuu basi
Wengine watumie magari ya Kati zikiwemo na pickup,
Mbona wanawamaindi watumishi kama wakurugenzi.Kwani hawakumsikia Polepole akitamba kuwa viongozi wote wa CCM wanatumia VX? Wamuhoji pia Polepole!
Wanajaribu kuhalalisha matumizi ya ujenzi wa uwanja wa Chato!Mbona wanawamaindi watumishi kama wakurugenzi.
Off point.Wanajaribu kuhalalisha matumizi ya ujenzi wa uwanja wa Chato!