Emanuel Urassa
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 302
- 113
Sijaona cha ajabu, mbona picha ya kawaida sana.
Dah huyu katumiwa sanaaa asee soo usishangae![]()
Hawa ndyo serkali inabidi ile nao sahan moja.
Huku ni kumharibia mtu kazi![]()
Hawa ndyo serkali inabidi ile nao sahan moja.
Ni kama kutukana jesh la polisi. Ni dharau kupost kitu kama hiki kwenye page ya malaya wa sinza. Ni kama vile kawaita polsi ni mlya wa sinzaWaongo nyie kukaa hivi huyu askari wa kike Amelia hall I shake jeshi LA polisi? Mbona hili no pause tu. Mawazo yenu ya n...g...o ndiyo yanawatuma kuwaza vibaya hivyo. Kwani hapo kimeonekana kitu gani cha kudhalilisha? Jibuni sasa;
na wewe ukaposti hapa ili iwe nini??????????????????????????????????![]()
Hawa ndyo serkali inabidi ile nao sahan moja.
IGP "MUNGU " ni wa nchi gani ?Kuna MTU anataka kulichafua Jeshi la Police kwa makusudi na anaweza kupatikana tu kirahisi sana
Wao askari wako field porini na alipiga picha za ukumbusho tu ktk pose za WP.
Kuna MTU anataka kumchafua kwa makusudi maxima kabisa.
Kwa wataalam wa picha,maandishi,nia,ktk cyber issue wanajua naongea nini
Sargent Sia be cool sheria iko kwako wala usijal ila there some close friends are against you take care.
TPDF iko makini na wanawake Jeshi na ndugu yangu IGP MUNGU take care hawa WP please.
Ili wadeal na uyo anayejiita malya wa sinza.na wewe ukaposti hapa ili iwe nini??????????????????????????????????
Sorry IGP ManguIGP "MUNGU " ni wa nchi gani ?
ushukuru jf inatu_back up pasi na hivyo hata wewe ungekuwa na hatiaIli wadeal na uyo anayejiita malya wa sinza.
Ujinga wewe hujui lolote unajitia ujuaji tuuushukuru jf inatu_back up pasi na hivyo hata wewe ungekuwa na hatia
Kwa akili zako unaona ni kitu sawasawa kabisa hicho na hiyo page ya instagram inahusika na uuzaji wa mitumba etiWaongo nyie kukaa hivi huyu askari wa kike Amelia hall I shake jeshi LA polisi? Mbona hili no pause tu. Mawazo yenu ya n...g...o ndiyo yanawatuma kuwaza vibaya hivyo. Kwani hapo kimeonekana kitu gani cha kudhalilisha? Jibuni sasa;