Huku ndo tunakoelekea kwa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku ndo tunakoelekea kwa sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchambuzixx, Dec 2, 2011.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ni bomu tu linasubiri kulipuka kwa sasa

  388044_10150393771175779_553085778_8752039_646927443_n.jpg
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  do hapa ni wapi?Tanzania au......
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bongo sitegemei vijana waoga sana kudai haki zao
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Anawaza tu kuajiriwa, huo ni upuuzi. Hakuna nchi walio fanikiwa kuajiri graduate wote. Ajitahidi kujiajiri mwenyewe.
   
 6. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hana mtaji atafanyaje ?
   
 7. M

  MyTz JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  in bold, kwa mtaji upi mkuu?
   
 8. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kwa mimi nikipata milioni na nikipata ushauri mzuri kutoka kwa watu waliobobea kwenye biashara unaweza kujiajiri kidogo kidogo ila problem ni wapi mtaji utapatikana hapo sasa ndo serikali inatakiwa iangalie itawasaidia vipi graduate wanaomaliza na kazi ni ngumu na wanataka kujiajiri katika secta mbalimbali bila kufanya hivyo kila anaemaliza atakuwa anasubiri kuajiriwa na wanaomaliza wanazidi kuongezeka
   
Loading...