Huku ndio ushenzini kwetu


ila bondeni hotel ya kwamacheni ni hatari, mpaka michoko inapatikana mitaa ile
 
ila bondeni hotel ya kwamacheni ni hatari, mpaka michoko inapatikana mitaa ile

lkn Michoko ndio ina-save maana inaondoa michosho ya safari ndefu si mchezo kutoka Kibaya na lori la mahindi (km 500km) halafu unafika Manzese wanakukopa Mzigo wote wa mahindi unaachiwa buk-50
si haba ukujichuja na michoko
safari hii wakivuna tu naingia km kibopa hap Sandton Bar nimtafute huyo aliyekusulubu
nipe tu maujanja niwe na kilo ngapi mfuko wa nyuma?
 

Duu Ukwaju wewe ni noma unapafahamu Kibaya? Nina stori yake huko ni ya kweli kabisa kuna siku nitaiweka hapa watakoona uongo sitawalaumu
 

Ukwaju nauliza tu ndugu yangu nawewe ni mteja wa wale jamaa???
 
Ukwaju nauliza tu ndugu yangu nawewe ni mteja wa wale jamaa???
KANDE NI KANDE havache thana muathu
I see wewe n Mpare hasa km sio Kikweni basi Mombasa ya Usangi au Ugweno
Mpaka Kibaya ulipafika
Hivi lile story la kale katoto ka mwenye nyumba aliyekusingizia umekabaka kaliporudi usiku kanachechemea iliishaje?
maana ulisema ni LAZIMA UTAKABANDUA umekasamehe kweli hebu imalizie basi kabla hujaleta ya Kibaya
 



Mbona rahisi sana hii mshikaji ila nakupa pole kwa kuchelewa kuwatoka muda wote huo mpaka wamekuchuna elfu 60. Fanya hivi....maliza hiyo bia yako kisha jifanye unaenda kukojoa chooni. Zubaa huko au pitia dirisha la chooni. I have done it a few times.....nikiona demu anakuja na shostito tu naangalia mazingira ya hiyo sehemu then mimi huyooooooooo bili nawaachia wao wenyewe huko nyuma, wapigwe wasipigwe juu yao.
 

hahahahaaa kwetu ni pale store mombasa ya kiriche, ile ishu ya kale kabinti takupm
 
hahahahaaa kwetu ni pale store mombasa ya kiriche, ile ishu ya kale kabinti takupm
Lile soko la Mombasa ni kiboko nikikosa naenda vizia watoto wa Lomwe
naagiza Dengelua vitochi viende Bweni la watoto wa kike, mm nasubiria migombani

Du kwa wakati huu sijui Michepusho na Gonjwa hili tungepona kweli na wale watoto wazuri wa Usangi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…