Huku mnachati vp aisee sie Wageni

Huku mnachati vp aisee sie Wageni

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
2,303
wapendwa mpo humu ndani.... waswahili walisema Kuku mgeni Hakosi kamba mguuni.
Mi mgeni bana
 
ila jichunge na vi serengeti boy vya hapa,umesikia shamkware mama pesa mbono?
 
Hivi unanijiua MIMI ni nani ?
Hivi hunijui kweli? Sasa subiri nikaja kuambia nitumie pesa , then usitume !
Ndiyo utakaponitambua
 
We muache tu aniletee mzaha! Ndy atanijua mimi nani !
Afu ifike ile siku Jamii forum wametoa mgao wa kugawana
pesa kama atapata !
 
asanteni wote mlo nikaribisha nashukuru sana wakuu
 
Karibu ila kaa mbali na my mume mkiva hata akikusalimia usiitike pita mbali sawa? Ndoa yangu bado changa!
 
Last edited by a moderator:
Karibu ila kaa mbali na my
mume mkiva hata akikusalimia usiitike pita
mbali sawa? Ndoa yangu bado changa! we mi DUME LA MBEGU ivi kumbe humu kila mna wake zenu mmmmh iyo nzuri na nataka nipate humu aisee
 
Last edited by a moderator:
wapendwa mpo humu ndani.... waswahili walisema Kuku mgeni Hakosi kamba mguuni.
Mi mgeni bana

we acha tu.mimi nikiingiaga huku na mmu najioneaga maruweruwe tu.dah haya majukwaa yana wenyewe
 
Back
Top Bottom