Acha kujichetua kijana'Kwa nini uteseke?????'
umbea hauna posho nduguzagu nawambia unakuja aibika ukose pakujificha dah sorry nimemkumbuka ally choky Enzi hizo twanga pepeta ipo nondo na Asha baraka hajawa mwana CCMChama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.
Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
Mbona unataharuki???Acha kujichetua kijana
Umesema ukweli wake wote,hata akinuna aambiwe tu.
Mnataka polisi wajue ili wakawakamate.Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.
Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.

Hivi wenyeji wa Dar es salaam hasa kigamboni ni akina nani/kabila gani?japo si vizuri kuulizana makabila lakin Dar imechanganya watu mbalimbali hivyo huwezi kusema kanda pendwa au la kwa maana mwenyekiti wa kijiji/mtaa lazima atoke eneo husika hata kama ni mchaga,mkurya,mgogo n.k.Tatizo sisi wanachama wenye asili ya kutoka nje ya kanda pendwa tukipaza sauti hatusikilizwiIII!! Hii tabia itaua chama chetu kipenzi
...Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.
Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
Umerudi toka kuzimu? Tupe habari za huko tumemisi mkuu wetu.Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.
Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
Asante Masoud wenye macho waone na kuelewa.