Huku Mbagala CHADEMA vikao vya uchaguzi ndani ya chama ni siri

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.

Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
 
umbea hauna posho nduguzagu nawambia unakuja aibika ukose pakujificha dah sorry nimemkumbuka ally choky Enzi hizo twanga pepeta ipo nondo na Asha baraka hajawa mwana CCM
 
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.

Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
Mnataka polisi wajue ili wakawakamate.
 
Unataka iweje?

Chadema wana utaratibu wao,

wewe ccm unataka kujuwa ili iweje?

Mkishawajua wagombea, unataka muwarubuni (muwanunue)?

Je, polisi wakijuwa ratiba zao hawatawavamia nakuwabambika kesi ya uhaini kuwa walikuwa wanapanga kupindua utawala uliopo?
 
MAFILILI za siku? Upo mkuu?

Naona upepo wa ngosha umekutupa nje ya mduara.

Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.

Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
 
Mpumbavu sana wewe kuliko wapumbavu wengine.

Tatizo sisi wanachama wenye asili ya kutoka nje ya kanda pendwa tukipaza sauti hatusikilizwiIII!! Hii tabia itaua chama chetu kipenzi
 
Hivi wenyeji wa Dar es salaam hasa kigamboni ni akina nani/kabila gani?japo si vizuri kuulizana makabila lakin Dar imechanganya watu mbalimbali hivyo huwezi kusema kanda pendwa au la kwa maana mwenyekiti wa kijiji/mtaa lazima atoke eneo husika hata kama ni mchaga,mkurya,mgogo n.k.

Lakin wewe ccm kama unaona wanachemsha basi waache cdm wapotee vizuri ili ninyi mchukue hivo viti
 
Chama chetu kinachojipambanua kuwa ni muasisi wa demokrasia kinaendelea kujimaliza chenyewe kwa kuendesha zoezi la uteuzi ndani ya chama kugombea uongozi serikali za mitaa pasipo uwazi. Kila kiongozi wa chama akiulizwa anatoa jibu la mkato kuwa "siku ikifika mtajulishwa". Huku kuna mchezo mchafu vikao vya uteuzi vinafanyika sehemu za starehe, bar nyakati za usiku.

Dodosa zetu zimeonyesha walengwa wanaotakiwa kupata fursa za kugombea ni wazaliwa wa kanda pendwa ndani ya chama chetu. Huo ni ubaguzi kututenga Wakwere, Wamatumbi, Wandengereko na Wazaramo eti hatuna sifa za kuwakilisha CHADEMA. Uongozi wetu hapo Ufipa, muje mlifanyie kazi huku Mbagala msije mkaona wanachama wenu tulio watiifu kwa chama tukafuata demokrasia na kuunga mkono juhudi za Rais kuinyosha Tanzania!
...
images.jpg
 
Umerudi toka kuzimu? Tupe habari za huko tumemisi mkuu wetu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom