Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 79
Unayosema ni ya kweli kabisa.Sasa hapo ni ukosefu wa shukrani kwa serikali yetu,kwani hio reli inagusa maslai ya watu wengi kuliko chuo kikuu kinachochukua watu elfu alobaini?ukelini kuwa kweli nchi yetu ni masikini tena sana na wananchi wana haki ya kulalamika...lakini umasikini huu haujaletwa na serikali yetu bali ni tatizo la kihistoria...wakoloni hawakuijenga nchi yetu kama walivyofanya kwa kenya na uganda..matokeo yake ni kuwa wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikuwa kati ya nchi kumi na sita ambazo ni masikini zaidi duniani,kwa sasa kungi hili limeonezeka na nchi pekee ilioweza kujikomboa hapa ni Botswana tu.matokeo ya uchumi mbovu uloachiwa na wakoloni ni pamoja na kukosa moyo wa kujituma.Watz tuko wavivu by nature,tukifanya kazi kidogotu tunataka ujira mkubwa.ukienda hotelini ukamkuta waitre wa kikenya ni tofauti na wa kitz.wasomi wetu wanadahani serikali ndio ina wajibu wakuwakwamua,hawataki kwenda kufanya kazi vijijini kwa madai maisha mabaya,lakini kwenye maisha yko kwa nini ushindwe kijitolea ata miaka mitano tu kufanya kazi kwa ajiri ya watanzania wenzako....tunazaliana kama ndege kuliko uwezo wa serikali kumudu.nchi kama namibia na botswana zani watu pungufu ya miilioni tano.sie tuko wangapi...watanzania wote hatuwajibiki kwa wastani.