Huko ulikokulia hamna wanaume?

Wadau hadi sasa hamjajua tu mnaongea na mtu mwenye shida ya kisaikolojia au ya kiakili?Niwie radhi hapo kiakili sikusudii kukudhalilisha bali kutafuta chanzo cha tatizo ili usaidiwe. Hapo hakuna pepo wala uchawi. Saikolojia tu ukizingatia katolewa bikra alafu jamaa lenyewe lililomtoa bikra halieleweki katili flani lazima ulidhanie mchawi.
 
Dada unakisa kitamu ila umeandika harakaharaka juu juu, nimekuelewa kidogo huyo jamaa atakua mchawi tu hebu tueleze mlipokutana na anajishughulisha na nini na ilikuaje mkaachana ili tuweze kuonganisha matukio na kutoa ushauri utakao kusaidia
 
Dada unakisa kitamu ila umeandika harakaharaka juu juu, nimekuelewa kidogo huyo jamaa atakua mchawi tu hebu tueleze mlipokutana na anajishughulisha na nini na ilikuaje mkaachana ili tuweze kuonganisha matukio na kutoa ushauri utakao kusaidia
Tulikutana chuo mkuu... Alinitongoza nikakataa, aliendelea kunisumbua na kunitambulisha kwa ndugu zake, nikaona ana nia ya dhati. Tukaenda kwao wakanifahamu vizuri mahusiani yetu yakawa rasmi kabisa,.
Alikuwa amepanga chumba kati ya nyumba yenye vyumba wivili.
Siku moja nilimuuliza mbona hatuingii chumbani kwake? Akasema haina haja kwa vile kuna biblia kule anaogopa kulala kule, akawa anasisitiza sana nimpeleke kwetu, nikanuomba tumalize ile semista kwanza..
Ila nikaenda kule chumbani kwake akiwa bafuni nikakuta vitu vya ajabu (kibuyu pembe ya ng'ombe) sasa alihisi kabisa kuwa nimeona akaniita sebuleni,

akaniambia nilipokutongoza ulikataa mbona Leo upo hapa??? Si uondoke?? Nani ana shida na wewee? Kwanza huko ulikokuwa unaishi Hamna wanaume ukawa bikra hadi Leo? Mie nimehangaika kukutoa alafu unaenda kumpa MTU hiyo Ku.m..a ikiwa ya moto bila kizuizi?

Akakaa kidogo akaanza kutoa maneno mengi zaidi na zaidi.. Nilihisi kupaa nilibeba pochi Yangu nikaondoka mbio...
Sikuwahi kujibu Meseji wala kupokea simu yake hadi leo.

Sasa Mara zaidi ya mia namuota yuko na kisu ananikimbiza siku nyingine namuota akiwa hana kisu ananikimbiza.. Miaka mitano sasa hiyo ndoto inajirudia
 
Jieleze vzr ili usaidiwe ushauri wa maana sio unaandika ovyo kama hutaki tuelewe tutakushauri vp?
 
Duuuuu aisee nashindwa kupata mtirirko mzuri wa story yako

Elezea mlivoanza mahusiano mpaka kufikia wewe kupata hizo ndoto za ajabu ueleweke usaidiwe

Ukitulia uandike vizuri

Pole sana Mkuu
 
hapa kidogo umeeleweka pole sana jitahidi kwenda kwenye maombi na usiache na uwe na imani
 
Heee makubwa haya na tafuta msaada haraka maana mchawi kashakufanyia mauchawi
 

Huyu mwanaume ndio huyu aliyekuzalisha watoti wawili akaanza kuchepuka au ni mwingine?

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua
 
Kuna baadhi ya mistari hapo inaonekana alikukuta au aligundua una mwanaume mwingine ndo akakutolea hayo maneno. Hebu sema ukweli kwanza kabla sijatoa ushauri wangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…