Pm mkuu nimekutumia ujumbe.. Asante sanaAre u serious madame ,kama ndivyo nitafute faragha nikusaidie!!!haya uliyoandika yanachekesha lakini nimekuhurumia bure!!!
alikutamkia hayo maneno wkt mko kwenye hali gani?Asante mkuu..
Nimewahi kuombewa Mara kadhaa
1. Mchingaji aliyeniombea usiku nikamuota amegeuka pepo anataka kinibaka nikaachana nae nikaenda pengine..
2. Akaniombea vzr tu... Maombi ya nguvu usiku nikaota ananiambia kwamba yule shetani alitoka kabisa ila alijificha njiani nilipopita akaniingia tena.kiukweli sina raha kabisa!
Mkuu.. Nilikuwa kwake.alikutamkia hayo maneno wkt mko kwenye hali gani?
mmeishi muda gani?
kwa sasa yuko wapi na wewe uko wapi?
mna watoto?
jibu hayo maswali tujue namna ya kukusaidia
kwao wapi
Huyo kakutupia mapepo wala usiende kwa mganga, kua imani ,Sali na tafuta Mchungaji asiyetumia nguvu za Giza mana hutopata mwanaume tena kakutupia majiniMkuu.. Nilikuwa kwake.
Hakukua na tatizo lolote! Tulikuwa kawaida aliniambia " nilipokutongoza ulikataa mbona sasahivi uko hapa? Halafu hiko kwenu hakukuwa na wanaume( akimaanisha why I was virgn)
mahusiano yetu Yalidumu miezi minne!
Kwao ni musoma kwetu moshi..
Maombi yana miiko yakeAsante mkuu..
Nimewahi kuombewa Mara kadhaa
1. Mchingaji aliyeniombea usiku nikamuota amegeuka pepo anataka kinibaka nikaachana nae nikaenda pengine..
2. Akaniombea vzr tu... Maombi ya nguvu usiku nikaota ananiambia kwamba yule shetani alitoka kabisa ila alijificha njiani nilipopita akaniingia tena.kiukweli sina raha kabisa!
Asante mkuu.. Nilipoachana nae nilisali sana jamani mnoi!! Nilikuwa na spirit kali ya kusali nilipata mume tukafunga ndoa..... Nikamsahau KBS... Sasa shida imeanza tena jamani... Naota tu na ananijia kichwani sanasana!!!!! Kiukwel nateseka sana......Huyo kakutupia mapepo wala usiende kwa mganga, kua imani ,Sali na tafuta Mchungaji asiyetumia nguvu za Giza mana hutopata mwanaume tena kakutupia majini
We nawe emu jifunze kuandika vizuri watu tukuelewe au hujui kiswahili?Sikukupata mtoto nae!
Pole...mkono umetelezaWe nawe emu jifunze kuandika vizuri watu tukuelewe au hujui kiswahili?
Jembe hii stori sijainyaka kabisaa.. nimejitahidi kutegesha antena vizuri wapi!mkuu Daby we umeelewa? ππππ