MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,217
- 43,753
Nampongeza sana huyo jamaa pamoja na mke/demu/mpenzi/hawara wake. Huyo jamaa ana akili za pesa kama kaweza kuwa na kiwanja cha 100m. Ushauri wa mwanamke kuuza na kwenda kujenga kwingine ni sahihi kwa 100%. Kuna maeneo kama huna uwezo bora uwapishe wenye uwezo na wewe kuhamia unapomudu. Pia rafiki kama wewe kupigwa chini ni uamuzi sahihi kwa sababu una wivu mkali sana. Waache wapendanao wafanye maendeleo kwa ajili ya familia yao. WANAOSEMA UMSHAURI JAMAA NI WAPUMBAVU KAMA WEWE.Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba.
Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site.
Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba.
Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Anadhan yeye tu ndio yupo sahihi.Ikatokea hajafeli sasa ndo kwanza akatusua, napo uje utushushie Uzi, kwa maana Uzi wako haugarantee losses ya mshkaji wako.
Anataka kumpangia mtu pesa yakeNampongeza sana huyo jamaa pamoja na mke/demu/mpenzi/hawara wake. Huyo jamaa ana akili za pesa kama kaweza kuwa na kiwanja cha 100m. Ushauri wa mwanamke kuuza na kwenda kujenga kwingine ni sahihi kwa 100%. Kuna maeneo kama huna uwezo bora uwapishe wenye uwezo na wewe kuhamia unapomudu. Pia rafiki kama wewe kupigwa chini ni uamuzi sahihi kwa sababu una wivu mkali sana. Waache wapendanao wafanye maendeleo kwa ajili ya familia yao. WANAOSEMA UMSHAURI JAMAA NI WAPUMBAVU KAMA WEWE.
Tatizo unawaza vitu negative tu, pengine mwenzio ameamua huyo ndio afanye naye maisha.Umenielewa nilichomaanisha, Huyu mshikaji ataumia sana, Baadae Mali yake watagawana pasu kwa pasu, mwanamke kashachungulia mbele.
Au anataka jamaa awe KATAA NDOA. Halafu hawa wanawake sometimes wana msaada sana wa kumbadili mtu na kuwa mwenye akili zaidi. Kuna watu wengi tu walianza mahusiano na wanawake wakajikuta wanafanya maendeleo makubwa. Nina mfano hai wa mtu aliyekuwa analala sebuleni kwa dada yake ila baada ya kupata mpenzi walianza kuishi wote kwa dhiki na kwa sasa wamejenga huko Majohe.Anataka kumpangia mtu pesa yake
Ova
Sio kwa namna alivyoelezwa huyu Mwanamke kwenye hiki kisa. Huyu ana Jambo lake tena jeusi.Kwanini mmeshaweka assumption ya kuwa atalia mara atapigwa mara sijui nini...kuna wanawake wenye nyota zao na bahati unaweza kushangaa hizo hela zikaleta neema juu ya neemq
Mkuu,Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba. Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site. Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba. Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Kwahio tushike lipi? Anashinda site muda wote au dukani muda wote? Unamuonea wivu mwanamke, unaweza kumpa huyo rafiki yko anachopewa na huyo Mama KUnajua maana ya yule mwanamke kutaka kwenda site mda wote,
Au maana ya yeye kuja kushindwa Dukani mda wote.
Kubeba mimba Faster...
Analengo,alilonalo Kichwani kwake....
Kwamba amruhusu aingie kwa mlango wa nyuma ?Kwahio tushike lipi? Anashinda site muda wote au dukani muda wote? Unamuonea wivu mwanamke, unaweza kumpa huyo rafiki yko anachopewa na huyo Mama K
Mkuu achana na mambo ya watu fata mambo yako. Nunua eneo na wewe uje uuze 100m utumie unavyoona inafaaKuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba. Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site. Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba. Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
chaiMimi nilioa, ila nikajakumsoma nikaona hapa nimepotea, nilichokuwa nafanya mfano nikinunua kiwanja nikawa namwambia tu ila sikutaka kumuonesha vilipo. Aisee hata zogo lilipotokea akataka tugawane mm nikamwambia sina time ya kugawana vitu wewe beba tu.
Yule mwanamke akajibebea ma vyombo akaenda zake, baada ya wiki familia ikaandamana tugawane na viwanja, wakata kwenda polisi ila changamoto imekuja mwanamke havijui vilipo ndio pona yangu.
NB:MWANAMKE UNAPOISHI NAE NI RAHISI KUMSOMA, LABDA NDIO UWE MBUMBUMBU