mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,219
- 6,650
Uandishi uliotukuka yabidi utaje chanzo cha habari yako. Nilifanya hivyo kwa hiyo habari yako humu JF.Kuna watu wanapatia umaarufu habari tunazoleta humu...Kuna kundi moja la WhatsApp wamebeba habari niloyoleta kuhusu Dr Williamson wa Mwadui,na aliyeileta ndio akasema kaandika yeye...Inashangaza!!
Lakini ni furaha kuwa ujumbe tunaotoa na makala tunazoandika zinawafikia watu kwa wingi,kupitia vidole vya mikono yetu,vipaji na fursa tulizonazo...Mungu mkuu anatukuzwa