Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Hapana si kamati ya prof.osoro alisema hawa acacia ndio tunawadai na hawajasajiliwa hapa nchini?Bado mnataja Acacia!!!! Eeeeh mnapenda matatizo yaijie nchi yetu
Hapana si kamati ya prof.osoro alisema hawa acacia ndio tunawadai na hawajasajiliwa hapa nchini?Bado mnataja Acacia!!!! Eeeeh mnapenda matatizo yaijie nchi yetu
Kuna wengine wanachkua point na like za nguvu kule fb kupitia post za humu....... dahKuna watu wanapatia umaarufu habari tunazoleta humu...Kuna kundi moja la WhatsApp wamebeba habari niloyoleta kuhusu Dr Williamson wa Mwadui,na aliyeileta ndio akasema kaandika yeye...Inashangaza!!
Lakini ni furaha kuwa ujumbe tunaotoa na makala tunazoandika zinawafikia watu kwa wingi,kupitia vidole vya mikono yetu,vipaji na fursa tulizonazo...Mungu mkuu anatukuzwa
Barafu kaka ukweli nakupongezaa saaana na Mungu aendelee kukupa nguvu,akili,na utashi katika kazi zako.Nakuomba saaana utupe kidogo hali ya huko Canada kuhusu hili ili tujue na huko pakojeeeKuna watu wanapatia umaarufu habari tunazoleta humu...Kuna kundi moja la WhatsApp wamebeba habari niloyoleta kuhusu Dr Williamson wa Mwadui,na aliyeileta ndio akasema kaandika yeye...Inashangaza!!
Lakini ni furaha kuwa ujumbe tunaotoa na makala tunazoandika zinawafikia watu kwa wingi,kupitia vidole vya mikono yetu,vipaji na fursa tulizonazo...Mungu mkuu anatukuzwa
Hatutaki matatizo tunadai haki yetu ukweli namtamani Magufuli afanye kile Alichofanya Gadaf Libya mikataba yote ya madini avunje bora tuwalipe sisi ili tuanze upyaHapana si kamati ya prof.osoro alisema hawa acacia ndio tunawadai na hawajasajiliwa hapa nchini?
Kaikopi na kupestiHivi barafu una id mbili au ni copy and paste ......????
Link Kwa nchi makini,serikali ya ccm ilipaswa ijiuzuru baada ya ripoti ya mchanga,ni watuhumiwa wakuu!....Wakuu nawasalimu,
Juzi niliandika uzi huu Vita dhidi ya mabepari wa madini inahitaji umoja, ilimshinda Dr Williamson wa Mwadui na Mwl Nyerere nikiwa Toronto Canada,hapo nilikuwa nyumbani kwa Mzee mmoja aliyeishi Mwadui miaka ya 1970's kabla ya kuondoka na kurudi huku.
Alinipa habari nyingi sana za "fitna" za mabepari wa madini katika dunia hii.Tunapaswa kuungana katika vita hivi,tusimuache Rais peke yake,na wala Rais asiibebe vita hii peke yake.
Leo ninapata ujumbe kuwa "Executive Chairman" wa Barrick Gold Corporation Mr.Thornton John Lawson ametua Tanzania usiku kwa usiku ili kuja kutuliza mambo.
Hali ya hapa Canada kwa Barrick sio nzuri,wanaharakati na wanasiasa wameanza kuandaa hoja za kuishutumu Barrick(Acacia) kwa "hujuma" walizoifanyia Tanzania toka mwaka 1998.
TUSHIKAMANE.
Hata Rais jana alisema,yeye naye ni binadamu,ana damu na nyama,anajua kuwa anapigana na watu wenye nguvu za kiuchumi duniani,tumuombee na tumpe ushirikiano.
..
Naomba kuwasilisha, as received
Kuna wengine humu wanaamini check itafika TRA jumatatu.Alichokisema Mwenyekiti wa Barrick Prof Thornton leo. Najaribu kutafuta aliposema kwamba watalipa pesa yote trilion 100 sijapaona,atakayepaona aniite
............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................ ''I have come here in order to help resolve the problem and I assure the President that we are interested in sitting down and reaching a resolution which is a win win (A win for Tanzania and a win for Barrick and our Subsidiary company, ACACIA)
After having these extensive conversations I feel very optimistic that we will reach a resolution which is a win win for all parties and we will be sitting down soon with a team designated by the President and our own team to go through the detail of that and I feel very good about the progress today.''
True ila from different source, ambayo nayo inaelekea ilikucopy!Kaikopi na kupesti
Endelea kutok na Imani kwa sbb ww no Mrundi na si MtanzaniaSina Iman kama Izo Pesa Zitalipwa
Ila hayo maongezi yote hadi waliongea ndani au yale kwa press conference tu? Kwasababu pale kama kafupisha tuAlichokisema Mwenyekiti wa Barrick Prof Thornton leo. Najaribu kutafuta aliposema kwamba watalipa pesa yote trilion 100 sijapaona,atakayepaona aniite
............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................ ''I have come here in order to help resolve the problem and I assure the President that we are interested in sitting down and reaching a resolution which is a win win (A win for Tanzania and a win for Barrick and our Subsidiary company, ACACIA)
After having these extensive conversations I feel very optimistic that we will reach a resolution which is a win win for all parties and we will be sitting down soon with a team designated by the President and our own team to go through the detail of that and I feel very good about the progress today.''
Link Kwa nchi makini,serikali ya ccm ilipaswa ijiuzuru baada ya ripoti ya mchanga,ni watuhumiwa wakuu!
Link2. Breaking News: - IKULU DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick, wakubali kulipa deni
Link3. Rais Magufuli amepatia jambo moja kwenye makinikia, amekosea jingine
Usijali mkuuTrue ila from different source, ambayo nayo inaelekea ilikucopy!
Talk of a small world!
Hata hivyo heshima kwko, true source, barafu!
kwenda zako..ndio umesema nini sasa..Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
Siyo kweli mimi nina thread zangu nyingi sana hapa nashindwa hata kuzipata sababu zinaunganishwa na za wengine bila kuacha ya kwako. Inawezekana kabisa jamaa aliweka yake na ikaunganishwa na barafu.Plagiarism!
nimeipenda avantar yako. imenikumbusha mbali nilkotoka. hongera sanaPost ya barafu ikakopiwa whatsap na wewe umeikopi tena na kuileta upya huku duh
Huna tofauti na fisi anayesubiri mkono uangukeJibu ni kwamba watataka uchunguzi huru ili wajisafishe na si kukubali hizi data zinazowachafua na wakilipa maana yake wanakiri hii hujuma hivyo tusitarajie watakubali kirahisirahisi tu kulipa maana hii itakuwa ni damage kwao.
Baada ya ripoti ya Makinika kutikisa, Executive Chairman wa Barrick atua Tanzania kutuliza mamboSiyo kweli mimi nina thread zangu nyingi sana hapa nashindwa hata kuzipata sababu zinaunganishwa na za wengine bila kuacha ya kwako. Inawezekana kabisa jamaa aliweka yake na ikaunganishwa na barafu.