Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,652
- 19,341
Na unavyopenda vyakula vya nazi mdada wa kitanga wewe! Hukutamani?Yaani kuna makala moja niliwahi kuiona wanapikwa hadi na nazi eti. Nkasema Loh.
Samaki nchanga kunoga wee, uchiteme wala uchimumunye[emoji23][emoji23][emoji23] uchicheme panya buku chema chamaki nchanga
Hapana Ses wala sikutamani mana niliona kakamaa tu mule kwenye chungu. 😀😀😀Na unavyopenda vyakula vya nazi mdada wa kitanga wewe! Hukutamani?
Nakupenda bwanaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji24][emoji24][emoji24]hunipendi ww.
Wengine wakiona hivyo na kichefuchefu juu🤣🤣🤣Hapana Ses wala sikutamani mana niliona kakamaa tu mule kwenye chungu. 😀😀😀
Sodom apple au bilinganya pori
Heeh! Asubuhi yote hiiNakupenda bwanaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
🤣🤣🤣🤣Wengine wakiona hivyo na kichefuchefu juu🤣🤣🤣
Wee wa kusini nini mkuu? Sehemu za Mchinga na Miteja KilwaDungulusi au madungulusi
Heeh! Asubuhi yote hii
🤣🤣🤣🤣 home hiyoo mkuu, mchinga, btw kusini kote huwa tunaita hivyoWee wa kusini nini mkuu? Sehemu za Mchinga na Miteja Kilwa
Hahahahaaa sawa mkuu, pamoja sana🤣🤣🤣🤣 home hiyoo mkuu, mchinga, btw kusini kote huwa tunaita hivyo
Mpuka. Kutoka ufipani