M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,288 Sep 9, 2019 #41 Ngoja wajuzi waje wafunguke zaidi
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 5,184 Reaction score 6,867 Sep 9, 2019 #42 Shadeeya said: Ndio hasa kwa watoto wadogo. Huwa zinapekechwa kwenye maji sijui vile kama sijakosea kisha povu anapakwa nalo mtoto tumboni. (Ila siku hizi sidhani kama bado zipo hizo imani) Click to expand... Kwa wazigua badooooo zipo
Shadeeya said: Ndio hasa kwa watoto wadogo. Huwa zinapekechwa kwenye maji sijui vile kama sijakosea kisha povu anapakwa nalo mtoto tumboni. (Ila siku hizi sidhani kama bado zipo hizo imani) Click to expand... Kwa wazigua badooooo zipo
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 9, 2019 #43 comrade_kipepe said: leo ndio nimehakikisha wewe ni mzanzibar Click to expand... 😅😅😅😅
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 9, 2019 #44 njinjo said: Kwa wazigua badooooo zipo Click to expand... Kuumbe.
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Sep 9, 2019 #45 Hannah said: Tuliambiwa ukichapwa na mwalimu ukiichoma ndulele atavimba mkono. Nilizochoma sana nikiwa primary. Click to expand... Alivimba?
Hannah said: Tuliambiwa ukichapwa na mwalimu ukiichoma ndulele atavimba mkono. Nilizochoma sana nikiwa primary. Click to expand... Alivimba?
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Sep 9, 2019 #46 Ngogwe si ndio nyanya chungu ambazo zaliwa kama mboga? Hizi haziliwi jombaa ngongoti2000 said: ngogwe Click to expand...
Ngogwe si ndio nyanya chungu ambazo zaliwa kama mboga? Hizi haziliwi jombaa ngongoti2000 said: ngogwe Click to expand...
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 781 Reaction score 1,035 Sep 9, 2019 #47 Sodom apple
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Sep 9, 2019 #48 troublemaker said: Ntulah. Hii vumbi la kongo ikasome. Click to expand... Unataka kiwaaminisha nini watu?
troublemaker said: Ntulah. Hii vumbi la kongo ikasome. Click to expand... Unataka kiwaaminisha nini watu?
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Sep 9, 2019 #49 Madungulusa yanaitwa....
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Sep 9, 2019 #50 Jua usiyoyajua said: Mtula, ukiweka mfukoni tunda lake amalo limeshakuwa njano, huwezi kurogwa na mtu popote uendako. Click to expand... Eeeeeh
Jua usiyoyajua said: Mtula, ukiweka mfukoni tunda lake amalo limeshakuwa njano, huwezi kurogwa na mtu popote uendako. Click to expand... Eeeeeh
P powercable Senior Member Joined Apr 20, 2019 Posts 121 Reaction score 170 Sep 9, 2019 #51 Madungulusi (kingoni/kindendeule)
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,978 Reaction score 5,417 Sep 9, 2019 #52 Ni madungulusa au madungulusi? powercable said: Madungulusi (kingoni/kindendeule) Click to expand...
Betason JF-Expert Member Joined Feb 2, 2015 Posts 387 Reaction score 700 Sep 9, 2019 Thread starter #53 ujoka said: Ntulantu hio mkuu ukiichemsha ukanywa mchuzi wake ukiongea na manzi yeyote hapindui alafu gem yake pweza viagra vikasome Click to expand... Mabaharia watakua wamekuelewa..ila hutumika pia kama dawa ya kutolea funza kwene kucha, unaikata duara afu unaivalisha kwene kidole husika
ujoka said: Ntulantu hio mkuu ukiichemsha ukanywa mchuzi wake ukiongea na manzi yeyote hapindui alafu gem yake pweza viagra vikasome Click to expand... Mabaharia watakua wamekuelewa..ila hutumika pia kama dawa ya kutolea funza kwene kucha, unaikata duara afu unaivalisha kwene kidole husika
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 5,011 Reaction score 11,807 Sep 9, 2019 #54 Man Kidole said: Mabaharia watakua wamekuelewa..ila hutumika pia kama dawa ya kutolea funza kwene kucha, unaikata duara afu unaivalisha kwene kidole husika Click to expand... Hahahah #mankidole
Man Kidole said: Mabaharia watakua wamekuelewa..ila hutumika pia kama dawa ya kutolea funza kwene kucha, unaikata duara afu unaivalisha kwene kidole husika Click to expand... Hahahah #mankidole
F fama JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 740 Reaction score 437 Sep 9, 2019 #55 LaplaceTransformation said: Amatobhoro Click to expand... Ni chimali wasu
Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,602 Sep 9, 2019 #56 Mrua kiswahili Ndulele
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Sep 9, 2019 #57 Kasie said: Ndula /Ndulele /nyanya chungu pori. Click to expand... mugonile....
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,801 Reaction score 43,177 Sep 9, 2019 #58 mwakajingatky said: mugonile.... Click to expand... Ugonilee, Ulimakafuu..
skate-board JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 490 Reaction score 581 Sep 9, 2019 #59 Ndulele
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Sep 9, 2019 #60 Kasie said: Ugonilee, Ulimakafuu.. Click to expand... Nilinkafu tolo nkamu bhangu...twamasiku? NB Ni fahari ilioje kuwa kabila moja na mama yangu Kasie 🤗🤗🤗🤗
Kasie said: Ugonilee, Ulimakafuu.. Click to expand... Nilinkafu tolo nkamu bhangu...twamasiku? NB Ni fahari ilioje kuwa kabila moja na mama yangu Kasie 🤗🤗🤗🤗