Huko jela kusikie hivihivi

Kidogo siku hizi kunaunafuu si kama miaka ya 90 hadi 2000
 
Duuuh ndio maana zinaibuka 'tabia mbaya'
 
Lakn cha ajabu wapo ambao wanalilia jela wanasema bora jela kuliko uswahilin
 
Kwa ushauri wng watu hawa wasitumie mboga jamii ya MAHARAGE na mayai ya kuchemsha!
 
Kuambukizana magonjwa ya ngozi na yake ya kuambukiza kwa njia ya hewa ni rahisi zaidi!,nashindwa kuelewa hawa watu wanaoyaona maisha haya ya jela ni bora kuliko ya uraiani?,inasikitisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…