Hujuma Pantoni za Kigamboni

Hujuma Pantoni za Kigamboni

Kivuko cha kigamboni ni mradi wa watu tu na hasa magufuri, private sector mpaka leo wako wako tayari kuinvest hapo lakini hawataki kupaachia sababu ya ulaji.
Bakharesa yuko tayari kuleta vivuko vya kisasa na mapendekezo yake watu wavuke bure lakini magufuri hataki .
 
Nimefuatilia comments za watu wengi humu nakugundua kuwa, asilimia kubwa imeelekeza lawama kwa serikali. Hakuna aliekuja na ushauri kwa serikali nini ifanye. Watz tuwe na utaratibu wa kujitolea kwa taifa letu na sio kulaumu serikali muda wote. Mtoa mada ulitakiwa uweke wazi njia wanazotumia kuibia mafuta na sio kulaumu inakuwa hujasaidia kitu bali umekubali kuendelea kuteseka ukisubiri serikali ije ikufanyie uchunguzi huo.
 
Suluhisho ni dogo tu!! Ferry ya kuvuka inahitaji kubinafsisha sector hiyo !! Waje wawekezaji kadri ya kukidhi haja ya wasafiri...
yaani wasafiri 1000 kwa pantoni 5 hadi 10 zichuana hapo !! na kila idadi ikiongezeka pantoni ziongezwe !! Ndo tutaendelea, Kwani mteja (msafiri) ni mfalme, Na ni haki yake kusave time yake " time is money "
The Fixer Barasu KATIBUA The Boss
Pale hawawezi kumpa mtu binafsi kuna hela nyingi sana sasa wakipagawa watapigaje dili. Wanachoudhi ni kuyaweka maisha ya abiria hatarini wangejitahidi kulifanyia service kila wakati na kuboresha huduma zao
 
Hapo lilizimika karibu masaa matatu ilipelekea Gari la wagonjwa kupita Daraja jipya ili kuwahi dharula hiyo
Kuna taizo kubwa mkuu sijui hao wahusika hawaoni hili, halafu likitokea la kutokea wa kwanza kutoa pole eee Mungu tuepushe na balaa
 
Nimefuatilia comments za watu wengi humu nakugundua kuwa, asilimia kubwa imeelekeza lawama kwa serikali. Hakuna aliekuja na ushauri kwa serikali nini ifanye. Watz tuwe na utaratibu wa kujitolea kwa taifa letu na sio kulaumu serikali muda wote. Mtoa mada ulitakiwa uweke wazi njia wanazotumia kuibia mafuta na sio kulaumu inakuwa hujasaidia kitu bali umekubali kuendelea kuteseka ukisubiri serikali ije ikufanyie uchunguzi huo.

hakuna raia mwenye akili timamu anawe tu kuamua kuichukia serikali yake, ni dola isiyotekeleza majukumu yake ndio siku zote hunyoshewa kidole! mpaka mtu aiambie serikali kuwa inaibiwa bado unaitetea? inajua hilo na mpango ulopangwa, leo unasema afanye uchunguzi, umebadiri sheria ilioanzisha jeshi la polisi? upelelezi kama hujui ni kazi ya police ndugu!
 
Mkuu hili wazo wakulu hawawezi kukubali labda UKAWA wakiingia magogoni.Pale kuna tiketi fake balaa!Kwa vile majitu yenyewe ya kigamboni ni mazwazwa acha waendelee kupigwa tu siku wakizama pale ndio wata pata akili ya kuandamana hadi mlangoni kwa mkulu ikizingatia pale si umbali mrefu.

Acha matusi mazwazwa mwenyewe,
 
Hata kama yanakidhi idadi mkuu yamefungwa na kufuli na funguo zinabaki ofisin na ni chuma tupu unategemea tutatoka ikitokea bahat mbaya
 
Pale hawawezi kumpa mtu binafsi kuna hela nyingi sana sasa wakipagawa watapigaje dili. Wanachoudhi ni kuyaweka maisha ya abiria hatarini wangejitahidi kulifanyia service kila wakati na kuboresha huduma zao
Maneno yako muwafaka kbs, Sasa wajua Ajira zaidi mara dufu kama watashirikisha kampuni..... Yaani insurace,security,maintenance,marine,nk,nk !! Abiria watalipa na maendeleo yatapatika..!
 
Daraja lnaedelea kujengwa.

Usalama wa kubahatisha maana hakuna anayefuata wala kusimamia swala la 'loading'. Idadi ya watu na magari havikaguliwi. Mpaka inapojaa ndio kipimo cha uwezo wake.

Hivi usalama mle upoje? life jacket na maboya yanakidhi idadi?

Samahani! ule mpango wa daraja umeishia wapi?
 
Hata mimi sijaelewa?

Mtoa mada anamaanisha Kivuko kinakwenda taratibu sana na hasa ni kwa sababu kinatumia engine 2 na siyo nne, kwa kawaida kilitakiwa kitumie dk 25 kwa mujibu wake, yaani akimaanisha toka upande mmoja hadi mwingine na kurudi (round trip).
 
Wadau,
Ipo haja ya Mamlaka husika kuingilia kati swala la kivuko hapa kigamboni, Round trip la hili pantoni kubwa siku hizi dakika 50 badala ya dakika 25.

Pantoni linatembea na injini 2 badala ya 4. Mafuta yanauzwa tu juu kwa juu, Mkuu Mwakyembe najua unapitia hapa na kama utakuwa hujaona lakini najua Vijana wako watakuletea hizi taarifa.

Wizi wa mafuta kwenye hizi pantoni zimezidi
yaani hawa jamaa wanafanya kazi kama wamelazimishwa vile, kuanzia wakata tiketi, hao waongoza magari, na hata hao waendesha hayo mapantoni - jamaa wanafanya kazi ki - analogia kabisa. ni kweli wanakera.

Kuishi kigamboni kuna challenges nyingi - hii nayo ni mojawapo.
 
Kwa taarifa yako, ulaji katika vivuko si habari ngeni hapa Wizarani (Ujenzi). Na kabla hujalalamika sana, hakikisha kwanza hapo ulipo (kama upo katika sekta ya umma) hakuna mauzauza yoyote yanayoshabihiana na hayo. Nijuavyo ni kuwa kila mahali, watu wanakula mezani kwao. Ndio mtindo uliokwishakubalika katika sekta ya umma longtime. Hata Waziri anajua hilo. Hatua kuchukuliwa (angalau kwa kauli kali) ni pale ambapo mustakabali wa kisiasa utakapoguswa. Kwa pantoni la Kigamboni, bado.
 
Kivuko cha MV Magogoni tunavyokiona wakazi wa kigamboni, hakistahili kufanya kazi za kusafirisha abiria. mara nyingi kinapoteza mwelekeo, na hata kushindwa kupaki kwenye gati lake. Viongozi wapo na tatizo la kivuko hiki naamin wanlijua bado wako kimya wanasubili maafa yatokee waje na matamko na uundaji wa kati za uchunguzi. Mh. Magufuri tunakuomba uelekeze macho yako kwenye hiki kivuko. kama ulivofanya wakati wa kupandisha nauli na kuwataka wasioweza kulipa 200/= wapige mbizi. ile nguvu uliyotumia wakati ule tumia nguvu hiyo tena tupate kivuko kipya. usikae kimya kusubili maafa yatokee ndio uje na matamko, na kuunda tume za kuchunguza maafa.

Kama serikali haiwezi kukarabati fine Mruhusuni Bakhresa atoe huduma kwa wananchi wa Kigamboni.
 
Kwani lazima mpakie kivuko ogeleeni kwani hata Magufuli anatambua uwezo wenu wakuogelea ndio mana alisema mpige mbizi kwa wasioweza kulipa.
 
Kivuko cha MV Magogoni tunavyokiona wakazi wa kigamboni, hakistahili kufanya kazi za kusafirisha abiria. mara nyingi kinapoteza mwelekeo, na hata kushindwa kupaki kwenye gati lake. Viongozi wapo na tatizo la kivuko hiki naamin wanlijua bado wako kimya wanasubili maafa yatokee waje na matamko na uundaji wa kati za uchunguzi. Mh. Magufuri tunakuomba uelekeze macho yako kwenye hiki kivuko. kama ulivofanya wakati wa kupandisha nauli na kuwataka wasioweza kulipa 200/= wapige mbizi. ile nguvu uliyotumia wakati ule tumia nguvu hiyo tena tupate kivuko kipya. usikae kimya kusubili maafa yatokee ndio uje na matamko, na kuunda tume za kuchunguza maafa.

Kama serikali haiwezi kukarabati fine Mruhusuni Bakhresa atoe huduma kwa wananchi wa Kigamboni.

Usilalamike sana, serukali yetu inafanya kazi kama jongoo atembeapo. Akigonga kitu ndio anageuza uelekeo na atakwenda mpaka apamie tena na kubadiki mwelekeo.
CHUKUENI TAHADHARI BINAFSI kwani wao kumpa Bakhresa watashindwa kubamiza mafao ya TAMESA.
 
Back
Top Bottom