The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 596
Wadau,
Ipo haja ya Mamlaka husika kuingilia kati swala la kivuko hapa kigamboni, Round trip la hili pantoni kubwa siku hizi dakika 50 badala ya dakika 25.
Pantoni linatembea na injini 2 badala ya 4. Mafuta yanauzwa tu juu kwa juu, Mkuu Mwakyembe najua unapitia hapa na kama utakuwa hujaona lakini najua Vijana wako watakuletea hizi taarifa.
Wizi wa mafuta kwenye hizi pantoni zimezidi