Hujuma nzito ndani ya makampuni ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujuma nzito ndani ya makampuni ya simu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by manchester, Oct 18, 2010.

 1. manchester

  manchester Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [FONT=&quot]Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "[/FONT][FONT=&quot]Asante[/FONT][FONT=&quot] kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."[/FONT][FONT=&quot]Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).[/FONT]


  [FONT=&quot]Kesho yake, [/FONT][FONT=&quot]October 14,2010[/FONT][FONT=&quot], [/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu "[/FONT][FONT=&quot]Asante[/FONT][FONT=&quot] kwa ujembe wako [/FONT][FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe huu wa pili nauona [/FONT][FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali. [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh hii kali! Waturudishie pesa zetu kama kweli wamekata bila idhini yetu
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duh! Tumekwisha. hivi sisiem kwa nini wanatufanyia umafia jamani? Wao ni nani katika nchi hii? Ngoja tutakutana tarehe 31 okt.
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  uwongo labda simu yako ina kengeza!
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nimejarribu na ujumbe huu ukanijia right now.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ni kweli hata mimi nilikuwa nashangaa hela zangu zinakatwa kiholela. Na nilipotuma neno hilo nilipokwa ujumbe huo.naomba waandishi wa habari wafuatilie habari hizi. Na wazalendo waliopo katika makapmuuni hayo tujuzeni haya mambo.
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni ukweli kiongozi tumia herufi kubwa . Mie pia kwanza ilinigomea mara ya pili imekubari baada ya kuweka herufi kubwa.
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  With all due respect. wewe ni mtuhumiwa namba tatu baada ya CCM na Makampuni ya simu

   
 10. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MKUU Manchester,

  Ubarikiwe, umetuokoa na unyonyaji huu. Kwa takribani juma moja sasa nimejikuta matumizi yangu kwenye line ya tigo yako juu mno, hata nikiongea sekunde 30 lakini baada ya muda kupita naangalia salio nakuta kumeondolewa takribani 1,000/= nilipowaeleza watu wa tigo wakadai yawezekana nilijiunga na kwenye bahati nasibu kitu ambacho hakipo kwangu.

  Nimefuata maelekezo yako na kupata ujumbe huo wa pili tena kwa line zangu zote, tigo na zain.
   
 11. S

  SUWI JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Lipo!!! Nimejaribu sasa hivi na nimepokea same msg kama ilivyoripotiwa juu.. Nafuatilia kwa karibu nikijua nimefanyiwa hujuma hii watantambua!!! Pesa wanazokwapua serikalini haziwatoshi hadi wameamua kutuibia kihuni... Snzy zao..
   
 12. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  jamani mbona hujuma kila sehemu na kila mahali?
  tutafika kweli?
   
 13. idea

  idea Senior Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ahsante sana
   
 14. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee
   
 15. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wale wale, wale wale
   
 16. M

  Myamba Senior Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli nami nimejaribu kupitia namba ya ZAIN na nimepata ujumbe huo!!!!! Mwisho wa yote ni 31/10 kwisha habari yao.
   
 17. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh kwa kweli hali mbaya sana, lakini malipo hapa hapa duniani na kisha hukumu zitatungojea ksho mbinguni.
   
 18. Mathias

  Mathias Senior Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimetuma kwa herufi kubwa neno HAPANA na nimejibiwa "Asante kwa ujumbe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM" Cha kushangaza ni kwamba sijawahi kujiunga na hawa jamaa. Anyway sikuwa nafuatilia matumizi ya simu zangu inawezekana wakawa walikuwa wanakata juu kwa juu, ila uzuri ni kwamba siku zimeisha na ntaenda niwaadhibu kwenye kisanduku cha kura kwa mambo maovu wanayoendelea kututendea.
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani tutawachukuliaje atua hawa wenye makampuni ya cm awawezi kutuibia hivi mchana kweupe
   
 20. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh bongo tambarare jamaa wanajichukulia hela zao. Makampuni yenyewe tutakuta vigogo wanamegashare.
   
Loading...