Hujuma nzito ndani ya makampuni ya simu

Mhh bado nakuna kichwa hivi inawezekana siku zote hizi hawa jamaa wamekuwa wakiniibia tu shilingi twangu!!!!! Wataalamu hebu tuambieni, hii imekaaje? Ni kweli walikuwa wanakula pesa zetu juu kwa juu??? Haki ya nani lazima warudishe, HAIWEZEKANI!!!
 
FUTA MACHOZI... FUTENI MACHOZI... Alighani Msanii wa ukweli Mgunga mwana wa Mnyenyelwa... Sio hao waganga njaa kina Maloo,Dayamondi,dookii,Tipu topu koneksheni na Flola Mshambaaa na Mume wake anaye-jiKOBOAAAAAA KYUKS KYUKS... TUWAMWAGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!
 
Kama hii ni kweli Mugu shuka Tanzania utuokoe kutoka kwenye udhalimu huu. Mungu Shuka uwakumbushe watanzania wote kwamba wewe ndiye Muumba wa dunia nzima na taifa hili, wakutegemee wewe na sio binadamu mwingine. Fichua madhambi na mikakati ya wale wote wanaotaka kuongoza taifa hili kwa wizi na mabavu. Watanzania tunahitaji baraka yako hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. badilisha mioyo ya wale wote wnaojiandaa kwenda kinyume na misingi ya kazi zao, wajue Mungu yupo na wakuogope wewe kabla ya kutenda lolote la kukuchukiza.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wote.
 
Ivi ni lini watz tutaendeshwa kama mapunda???
Nasema tuishatki ccm na hayo makampuni ya simu! Hii sio haki kabisa!!
 
Jamani mimi nataka kujitoa kwenye huduma ya sms kutoka simba sport club namba 15556. Kwani wanatuma sms ndogo ndogo nyingi ambazo wangeweza kutuma moja tu. Naona wananiibia. Sasa nifanyeje
 
Kama mtu akiibiwa kinachofuata ni nini? Hatuna budi kufungua kesi mahakamani kabla hawa jamaa hawajaondoa huo ujanja wao kuficha ukweli.
Huu ni wizi wa mchana kabisa bila aibu usoni wala matakoni.
 
naona hii ni hatari. wangapi ndugu zetu huko waliko wameibiwa namana hiyoo. naomba wajuzi wa mambo wafuatilie hili na wahusika wachukuliwe hatuaaaaaa. nimeogopa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. huenda kuna mengi tunafanyiwa nyuma ya paziaaa.
 
Duh! Tumekwisha. hivi sisiem kwa nini wanatufanyia umafia jamani? Wao ni nani katika nchi hii? Ngoja tutakutana tarehe 31 okt.
wao ni watawala! hiyo siku 31 ni kwa wewe msomi unasema ngoja ifike ufanye kweli lkn kijijini wanasema ngoja ifike jamaa amalizie sehemu yake ya mwisho,
 
Hasira nilizonazo natamani nilipue office za zaini zote!... hawa wapuuzi TCRA kazi yao ni ipi sasa ?
 
Back
Top Bottom