Hujuma NECTA Kanisa linahusika

  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni.
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.

Wewe kilaza mbona hujaoanisha title na mada?? Rudi shule au kwa akili hizi ulidhani NECTA wangekupa A?? Form four failure kaazi kweli kweli ....MODS...Jukwaa linapoteza maana sidhani kama kuna haja ya kuacha ***** kama huu jukwaani..Hata waislamu wa kweli wanakushangaa..
 
hilihalina uchochezi kwasabababu baraza laelimu tumeliona linatoa matokeo nalinafuta hililinamaanisha nyumayabaraza lamitihani kunamsemaji kwanini waliofeli wafaulu hakunamsomi anatoa matokeomarambili.
 
kwahiyo we unasemaje au unataka tukusaidie nini?
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni.
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.

Hivi jamani mmemuelewa huyu jamaa?Kanisa linahusika vipi hapa!!!Jipange tena uje na hoja zenye mashiko...she*zi
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni.
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.

Katika shule hizo za kiislamu ACHENI KUKARIRISHA KURANI na mfundishe kisawasawa kwa kuweka wastani wa ufaulu ndani yashule zenu. Kuhakikisha mwanafunzi asiefikisha anafukuzwa au kutafuta shule ya wajinga wenzie.
Nina mashaka humu katika shule hua kuna mashindano ya KUHIFADHI KURANI na sio kimasomo dunia....... Kwa mtindo huu hata mkiambiwa MLIIBA MITIHANI NDO MAANA MKAFUNGIWA SISHANGAI na msilalame tu.
 
Kuna mstari katika BIBLE unasema "Mkamate sana elimu, wala msumuache aende zake". Mambo kwa mpangilio bana sio kuamkia madrasa ukijua shule haina umuhimu duniani na ahera.
 
  1. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni.

Mengine tutayataja.

Tatizo wanaojua kiarabu wameishia madrassa na sifa za kuajiriwa pale kama afisa uwe na degree ya kwanza iliyotulia na Masters juu yake au uwe potential candidate kwa ajili ya masters...

Pili ivi Islamic knowledge inahusiana nini na kiarabu?? Kwani hiyo ni Arabic Language?? After all kila kitu kinafanywa na wataalamu wa hilo somo toka shuleni sasa huyo ni coordinator tu mapovu ya nini?? Mpelekeni Sheikh Ponda akairatibu ili wote mpate A halafu muelekee Kwenye kijiwe chenu mnachokiita Chuo kikuu hapa Morogoro.....
 
hilihalina uchochezi kwasabababu baraza laelimu tumeliona linatoa matokeo nalinafuta hililinamaanisha nyumayabaraza lamitihani kunamsemaji kwanini waliofeli wafaulu hakunamsomi anatoa matokeomarambili.

Kwa uandishi huu unategemea nini kama sio kuzungusha?? Halafu utalalamika kuwa ulifelishwa wewe??
 
Back
Top Bottom