Hujuma NECTA Kanisa linahusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujuma NECTA Kanisa linahusika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiogopeni, Jul 9, 2012.

 1. k

  kiogopeni Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
  Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
  Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni.
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.


  Mengine tutayataja.
   
 2. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nyie mnachotaka kuleta ni uchochezi wa dini,na wengi wetu hatuna muda wa kujadili hili bali kutoa maoni ya kurekebisha matatizo yaliyotokea,hayo ya uislamu na kanisa ni yako! TUACHE UCHOCHEZI think greatly of the outcome.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  shikeni sana elimu kutwa kulilia upendeleo tu....
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu wengine bwana!!! hamna cha kufaya sijui!!
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Napendekeza kwa nia ya dhati kabisa, nafasi zote za uwaziri sambamba na ukurugenzi wa mashirika mbalimbali basi wapewe ndugu zetu hawa tupumue kidogo.

  Unaibu waziri, deputy managing directors tuachieni....happy now?
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Acha unafki wewe! Title ya thread yako haiendani na ulichokiandika humu. Umejaa malalamiko na maneno ya uchonganishi,uzushi na umbea. Wewe unaelewa maana ya kanisa?
   
 7. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo la mtoto wa kambo ndo hilo, mara zote hudhani na kuamini kuwa anaonewa na mtoto wa halali anatetewa na kupendelewa. Huyo kijakazi wa Sarah kihelehele chake cha kukubali kumsaidia Sarah wakati Sarah alikuwa anampigisha stori zote kuwa Mungu ameahidi nitapata mtoto kilitoka wapi? Mungu alipoona hii dunia haitakuwa na usawa kwa kukosekana na watu wa-shari wenye kulalamika, watoto wa kambo-watoto wa mjakazi akaona ngoja niwapatie nao kutoka katika kizazi chao cha mjakazi kwa kuwa utamu ulitolewa na Ibrahimu na haukuwa mpango wa Mungu akawapatia Mohamed ambaye alikariri agano la kale na kufufuata baadhi ya mambo aliyofanya kaka yake yaani Yesu. Acheni kulalamika watoto wa Housegirl.

  sorry nimeongea ukweli
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wekezeni kwenye elimu dunia sio kwenye madrasa mtaondokana na fikra mgando kama hizi.
   
 9. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mlifungiwa kwa sababu mmezidi utaahira. Nyie badala ya kusoma kama wenzenu mnajua tu kuendekeza mambo yasiyo ya msingi.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hiki ni kinyesi cha kachumbari kilichochanganyikana na maharage!
   
 11. s

  spensa_e JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 563
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 80
  kajitoe muanga, au unaogopa kufa!!!!
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,403
  Trophy Points: 280
  Someni jamani acheni huu upuuzi wa kulia na Ndalichako.. ukienda tandika na uswahilini ndio utajua jamaa hawapendi shule kabisa watoto wanataka kua wapiga debe na umachinga tu wenzao wanaenda tuisheni wao wanachangisha hela barabarani eti kuwezesha timu, upuuzi mtupu tumesoma na waislamu wengi tu wanaozingatia masomo na walifaulu vizuri sana wengine kuliko hata sisi

  tatizo lenu mnapenda sana mteremko
   
 13. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ondoka zako na wendawazimu wako huo!
   
 14. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani ipo aya isemayo 'MKAMTAFUTE SANA ELIMU MPAKA MASHARIKI YA MBALI YA UCHINA' NA HATA NABII ISSA BI MARIAM ALISEMA ' UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI NA MENGINE YOTE MTAZIDISHIWA' NAMI NASEMA HIVI,,,, TUPENDANE JAMANI SISI NI WATANZANIA TUPO WOTE MTAANI HABARI ZA UDINI, UKABILA, HAZIJENGI, NINACHOWASHAURI NI KWAMBA, TUSHIRIKIANE KUWATENGA MASHOGA NCHINI ILI WAACHE TABIA ZAO MBAYA, BILA KUSAHAU KUPINGA TABIA YA UCHANGUDOA NCHINI, TUWAFICHUE WABAYA HAWA BILA KUSAHAU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI TUJENGE TAIFA BORA LENYE NEEMA. TUKIKALIA MAANDAMANO NA MAJUNGU, WAGENI WATAZIDI KUNEEMEKA NA NCHI YETU NA KUONDOKA. UKITAKA KUJUA NCHI IMEENDELEA NI MFUMUKO WA RAIA WA KIGENI KUJA KUPIGA KAMBI NCHINI, WAONE WACHINA HAWATAKI KURUDI KWAO, WAKONGOMAN NDO WAMEFIKA, WAKENYA NDO BALAA, MASAKI YOTE IMEJAA WANYASA (MALAWI HIYO) WASOMALI SITAKI KUSEMA, SASA NYIE KALIENI MANENO WENZENU WANAKULA. NI NCHI IPI UTAKWENDA WEYE DUNIANI UISHI KAMA WANAVYOPETA WAGENI HAWA, NA WANATAJIRIKA HARAKA KWANI DHANA YAO NI KUFANYA KAZI NA BIASHARA KWA BIDII ZOTE. WAKATI MNAONGELEA UDINI, MUUNGANO, MISHAHARA YA MILIONI SITA, WENZENU WANASINGA MBELE, MTAJAFUNGUKA MACHO WATOTO WENU WATAKUWA WATUMISHI WA NDANI WA WAGENI HAO. WATANZANIA TUMELOGWA AU NI NINI LAKINI. I DONT KNOW
   
 15. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi nasema ukweli utapatikana tu usiwe na hofu na kupata dhambi ya kudhani
  Mi naona ili kuleta uelewano kati ya waislamu na wakristo bora baraza livunjwe na liundwe upya maana utahira/ubovu wa baraza umejionesha katika matokeo ya Islamic knowledge na kabla ya hapo hapakuwa na shida japo kulikuwa na kelele za kuonewa.
  Kama serikali yenye kuenzi kuwajibika basi wangewajibika viongozi lakini hatuna utamaduni huo na kuna uwezekano anayetakiwa kuwajibika kusema haoni sababu ya kuwajibika hadi ang'olewe na aliyemteua.
  Dua zinatosha kumaliza matatizo kwani tukitoa kwa mikono yetu Nchi haitakalika maana wameshaweka mizizi mirefu na kama wanaonewa kwa majina basi hata wakristo wapo maana kufuata dini hiari ya mtu. Chamsingi ni kuomba/kupiga kelele zetu zote wenye kufanya dhuluma hii kwa kuonea wananchi kwa kuangalia dini zao na huku katiba ikisema nchi haina dini basi ikithibitika kuwa na mtu wa namna hiyo awajibishwe kwa mujibu wa sheria hata akiwezekana anyongwe! maana unaona kunyongwa ni vibaya jigeuze ni mwenye kudhulimiwa halafu uliyekuwa nae darasani na alikuwa ni kati/mwisho ndo anaendelea na shule halafu wewe unaenda kupiga mkaa au kazi yeyote isiyo na uhakika wa mlo kwa siku na mwenzio mwisho anaajiriwa je aliyesababisha haya kwa maksudi adhabu yeyeote haifai ila kunyongwa ni haki yake kwani amedidimiza taifa na ameumiza wengi kwa kupeleka mtu asiyefaa bali wa dini au ndugu yake na hivyo hawajibiki ipasavyo na madhara yanasambaa na hataisha mara moja!
   
 16. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi nasema ukweli utapatikana tu usiwe na hofu na kupata dhambi ya kudhani
  Mi naona ili kuleta uelewano kati ya waislamu na wakristo bora baraza livunjwe na liundwe upya maana utahira/ubovu wa baraza umejionesha katika matokeo ya Islamic knowledge na kabla ya hapo hapakuwa na shida japo kulikuwa na kelele za kuonewa.
  Kama serikali yenye kuenzi kuwajibika basi wangewajibika viongozi lakini hatuna utamaduni huo na kuna uwezekano anayetakiwa kuwajibika kusema haoni sababu ya kuwajibika hadi ang'olewe na aliyemteua.
  Dua zinatosha kumaliza matatizo kwani tukitoa kwa mikono yetu Nchi haitakalika maana wameshaweka mizizi mirefu na kama wanaonewa kwa majina basi hata wakristo wapo maana kufuata dini hiari ya mtu. Chamsingi ni kuomba/kupiga kelele zetu zote wenye kufanya dhuluma hii kwa kuonea wananchi kwa kuangalia dini zao na huku katiba ikisema nchi haina dini basi ikithibitika kuwa na mtu wa namna hiyo awajibishwe kwa mujibu wa sheria hata akiwezekana anyongwe! maana unaona kunyongwa ni vibaya jigeuze ni mwenye kudhulimiwa halafu uliyekuwa nae darasani na alikuwa ni kati/mwisho ndo anaendelea na shule halafu wewe unaenda kupiga mkaa au kazi yeyote isiyo na uhakika wa mlo kwa siku na mwenzio mwisho anaajiriwa je aliyesababisha haya kwa maksudi adhabu yeyeote haifai ila kunyongwa ni haki yake kwani amedidimiza taifa na ameumiza wengi kwa kupeleka mtu asiyefaa bali wa dini au ndugu yake na hivyo hawajibiki ipasavyo na madhara yanasambaa na hataisha mara moja!
   
 17. K

  Kichasi Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "nonsense"
   
 18. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tulipumzika na hizi propaganda za kidini naona sasa zinarudi kwa kasi ya ajabu.

  Unadhani Uislam ni kujua kiarabu tu au? Mbona mimi nafahamu kiarabu na Uislam siujui kabisaaaaaaaa. S.A.W hakusoma nyie mnahangaika nini?
   
 19. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sioni cha maana ulicho lalamika,zaidi ya uchochezi .
   
 20. k

  kiliochangu JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1,122
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Kiogopeni, umeshapoteza muelekeo. Threads zote za NECTA kaziweka Kiogopeni, ili ni tatizo la mtu binafsi na sio la Waislam, kwani wanaheshimu sana Imani zao na Mafanikio ya halali.
   
Loading...