Hujuma dhidi ya Chadema yashindwa...ni shangwe kuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujuma dhidi ya Chadema yashindwa...ni shangwe kuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, May 17, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wadau nimeipenda hii,wananchi wa sasa wamebadilika sana.Taa ya kijani inawaka......

  Mpendazoe alitoa madai hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mjini hapa jana, baada ya mji wa Njombe kutikisika kwa maandamano ya amani yaliyoandaliwa na Chadema.

  Awali, akifungua mkutano huo, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Njombe, Raphael Lulandala, alisema kuna hujuma zilizofanywa kuzuia maandamano na mkutano huo usifanyike.
  Lulandala alisema baadhi ya watu walipita mjini na kuwatangazia wananchi wasishiriki maandamano na mkutano ili wasimuaibishe Spika Makinda.
  Alisema watu hao walikwenda mbali zaidi baada ya kuchukua mzinga wa nyuki kutoka maliasili na kuupeleka katika uwanja, ambao mkutano wa hadhara wa Chadema ulifanyika ili kuwatisha wananchi wasihudhurie mkutano huo.
  Source:Nipashe
   
 2. Josephine

  Josephine Verified User

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mungu akiwa upande wao hakuna mtu,kitu kitakachokuwa kinyume nao.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nyuki wa siku hizi ni wanachama wa chadema.... walijisumbua tu
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli CCM wamezeeka strategy ya kupeleka nyuki sikumbuki kama hata Kinjekitile na Mkwawa waliitumia kupambana na wajerumani.
   
 5. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Hahahahah Makinda amekua KINDA NDANI YA MJI WAKE
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  UJINGA plus UPUMBAVU = UZEZETA.
   
 7. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ?nyuki.....lol! Nimeipenda híi! Kweli ukipigwa za usoni lazima ulalame
   
 8. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mungu zaidisha katika kubariki harakati za CHADEMA
   
 9. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii kali
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280

  ha ha ha ha ha ha hata makamba hakuwa na mbinu hizi za nyuki... tumuulize nape atuambie wametoa wapi mbinu za nyuki
   
 11. s

  sawabho JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mimi ambaye sikuwepo huko, nahitaji ukanushe kama si kweli ili kuonyesha kuwa huo ni ujinga plus upumbuvu = uzezeta. Bila kukanusha, naendelea kuamini kuwa hayo yalitokea.
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Tumseme Makamba kwa uropokaji lakini hakuwa mjinga kiasi hiki this is horrible strategy wazungu wakiisikia mbinu hii itabidi waongeze misaada ya elimu.
   
 13. s

  sawabho JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeipenda, ni ubunifu wa hali ya juu. Lakini kwani wale nyuki wenye vitambaa vyekundu siku hizi wamekuwaje?
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  imebidi nicheke badala ya kusikitika...kweli CCM wameishiwa maarifa
   
 15. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  maandamani hudhuria chadema ufaidi mipasho ya wasanii jukwani. kura wachague ccm waendelee kujenga nchi.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakishindwa mbinu zoote, itabidi wajaribu sasa kutumia SANGOMAs toka NIGERIA!
  kWA KUANZIA MIMI NAWAAGIZIA MMOJA HUYU HAPA:

  pd348995.jpg
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  red: Ni KIKABILA GANI HICHO?..WAWEZA KUTUTAFSIRIA?
  Blue: Over my Dead Body!
   
 18. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Maskini Nape na mbinu za zama za kale ila ndo uwezo wake wa kufikiria umeishia hapo.
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Things are falling apart.
   
 20. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii ni kali ya mwaka, Huyo ma mama Makinda ndo amewaagizia hiyo au atakuwa Nape?
   
Loading...