hujawahi kudanganya kati ya haya....!!?

hujawahi kudanganya kati ya haya....!!?

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
247
1. I have Read and agreed to the terms of service
2. Status= offline
3. Yes I'm over 18yrs.
 
kweli asee,hususani namba 1 watu wengi hujibu Yes...
 
Hiyo namba moja watu wote wameivamia sana si kwa sababu huwahawataki bali terms and conditions nyingi huwa ni ndefu mpaka kuzisoma huwa zinaboa thus why wengi huwa tuna ignore
 
ukitaka kumficha mwuafrika weka ujumbe kwenye vitabu

no.1 inahusu sana
 
Back
Top Bottom