..hujani----misss mmhhhh haven't you missed me?

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,877
Reaction score
10,513
JF

1. Ulishawahi kubembeleza akakutolea kavu...ukatokomea from no where you are now asked ...hujanimc?
2. X is married and today asks you ...hujanimc?
3. Just x not married and today asks you ......hujanimc?
4. etc
NB: kwa kila ukutanaye naye jaribu kuacha kumbu kumbu
 
Atakukumbuka kwa lipi sasa hata scafu ya mafua hukumachia, lazima tuache memories bhana but ziwe nzuri nzuri
 
Sure Inakera nikumic kwa kipi? hiv unaweza kummiss mtu ovyo ovyo just becoz you had sex naye? nitawamis wangapi? wewe ulikuwa wa ngapi? may b km kuna added advantage ya maana. muachege kuuliza maswali ya kijinga.
 
"nitawamis wangapi, unajua wewe ni wangapi? Mmmmh! Sista, hilo nalo neno!
 
Sure Inakera nikumic kwa kipi? hiv unaweza kummiss mtu ovyo ovyo just becoz you had sex naye? nitawamis wangapi? wewe ulikuwa wa ngapi? may b km kuna added advantage ya maana. muachege kuuliza maswali ya kijinga.

Sasa umempa zabibu mwenzio, alafu anazitaka tena unamuuliza za nin??
 
Sure Inakera nikumic kwa kipi? hiv unaweza kummiss mtu ovyo ovyo just becoz you had sex naye? nitawamis wangapi? wewe ulikuwa wa ngapi? may b km kuna added advantage ya maana. muachege kuuliza maswali ya kijinga.

Waweza muachia japo kovu lol....lazima akukumbuke

Sasa atakukumbukaje bila ya vitu kama hivyo, wew mn'gate hata skio kidogo
 
Back
Top Bottom