Hujambo?

Hujambo?

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Leo mtaani umetokea ugomvi kisa mjumbe wa nyumba kumi wa mtaani kwetu kasalimiwa na mwanume mwenzake kwa kuulizwa HUJAMBO? ndipo naye alipopinga kudhalilishwa na kusema neno hujambo anatakiwa aulizwe mwanamke.
Je,kuna ukweli hapo?
Nalog off
 
Nadhani huenda alimwambia "HUJAMBOOO" Ndiyo akapandwa wahaka!
 
Back
Top Bottom