Page 94 JF-Expert Member Oct 22, 2015 5,204 15,198 May 14, 2016 #4 Duuuh!! Kajichoma mwenyewe au kuna mtu kamfanyia unyama?
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,638 12,061 May 14, 2016 #5 halafk ukute sababu ni mume/mke wa mtu, utajutia maisha yako yote
othiambo JF-Expert Member Nov 15, 2014 1,992 2,787 May 14, 2016 #6 Mungu wangu apo ndo narejea ule usemi wa "Dunia imevunda uovu binadamu hawashikiki",we ukamtwike mwenzio kisu cha jicho si hatari hiyo.
Mungu wangu apo ndo narejea ule usemi wa "Dunia imevunda uovu binadamu hawashikiki",we ukamtwike mwenzio kisu cha jicho si hatari hiyo.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,807 730,155 May 14, 2016 Thread starter #7 Compact said: Duuuh!! Kajichoma mwenyewe au kuna mtu kamfanyia unyama? Click to expand... Kafanyiwa huyu
Compact said: Duuuh!! Kajichoma mwenyewe au kuna mtu kamfanyia unyama? Click to expand... Kafanyiwa huyu