Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
hii dunia ina mambo ya ajabu sana,hebu mtazame huyu halafu utakuta kuna midude kila siku kazi kuharibu ngozi na kuvaa mavuzi ya wanyama kichwani.mungu ambariki.
ugonjwa mbaya sana
Nani kakwambia anaumwa, mbona wako wengi.ugonjwa mbaya sana
mzizimkavu looks distorted in a photoshop............the victim looks too contented to be a sufferer........and so is her mom
dah kuna binaadamu hawatosheki kabisa,lakini ndio ubinaadamu wenyewe.khaa, watu mna vituko, kha, kukasirika gani huko! lol, pole nyingi kwa mtoto jamani.