Hugo Chavez, fiery Venezuelan leader, dies at 58

Hugo Chavez, fiery Venezuelan leader, dies at 58

R.I.P Jembe

Jembe halifanyi kazi bila kutiwa mpini!!! Vipi Huyu Jembe wako alipachikwa Mpini? Kuna baadhi ya watu ukuwaita Jembe anakupiga kuwa makini Mkuu

Mola ailaze pahari panapomstahili Hugo Chavez
Jamaa alikuwa anapenda Uraisi hadi alibadilisha katiba aendelee kuongoza kama Museven na Mugabe kundi lao ni moja Walipoingia madarakani wakaonja utamu ndio wamebaki ving'ang'anizi hadi vifo viwaondoe na Si Binadamu wana hisa na uraisi
 
omg!! yaani jana wakati namuangalia yule information minister, nikafahamu wazi kwamba the guy had just few hours!!!
RIP Jembe la Ukweli!!!
 
Rais Hugo Chaves amefariki kama dk 30 zilizopita. Amekufa kwa cancer ambayo imemsumbua tangu 2011. Ametawala nchi hii kwa miaka 14 tangu 1998. Hali yake ilivyokuwa mbaya,alimteua makamu wake mr. Maduro kuwa rais wa muda. Nchi ya venezuela ina akiba kubwa ya mafuta hivyo ma-usa walikuwa hawamtaki kwani aliamua mafuta yachmbwe na serikali na yasaidie watu maskini. Atakumbukwa kumuita rais george bush wa usa kuwa ni devil. Chanzo cha haabari ni tv stations zote zinatangaz live tukio hili
 
Manchester nasi Tumefungwa japo kwa Taaabu ndio Machungu yangu yapo hapo na si kwa Chavez KAtumbua sana maisha huyu Time yake kwisha.... John Cena aliimba
 
kwali kifo hakina formulae!!kamuacha Fidel Castro!
 
Very sorry for Venezuela and Chaves family..... May his Soul RIP
 
Mungu Tafadhali hurumia kodi zetu, huyu Fatjet ni lazima anaandaa suti za kwenda kuzika Venezuela na wapambe wake.
 
Mungu Tafadhali hurumia kodi zetu, huyu Fatjet ni lazima anaandaa suti za kwenda kuzika Venezuela na wapambe wake.

Hawezi kwenda Chavez alishawahi kumkatalia kwenda huko maana aliomba Profile ya Fastjet akaiona ni chafu sana kuliko ya George Bush na alipojua ni rafiki wa Bush ndio alinuna kabisa akajua huyu ndie atakuwa mwalimu wa George Bush
 
Long live chavez

Mkuu

Ukiondoa China, Russia

Baada ya kummaliza Kanali wa ukweli.

Wamebakisha wawili/ watatu tu.

Wa Iran, wa Algeria, wa Syria...wengine wako mfukoni.
 
Back
Top Bottom