Huge Economic loss caused by Magufuli


Hivi Wasira,Mulugo,Kawambwa,Makongoro Mahanga,Makalla na Mkangara ni wachapakazi kuliko Magufuli? Acheni chuki binafsi Magufuli is one of the best ministers this country has ever braced
 

huwa anakurupka na huyo NDo jembe lao
 
Why this loser is still in the cabinet? :rant:
Mkuu Magufuli ni loser? sidhani kama uko sahihi, loser kwa shinikizo la wahujumu uchumi wachache wanaotajirika kwa migongo ya maskini wengi wavuja jasho? eti tu kwasababu wanaofanya maamuzi , watunga sheria na wasimamizi wa sheria hizo ni sehemu ya wamiliki wa maroli hayo ambao kwa umoja wao wanahujumu uchumi wa nchi? eti wanathubutu kutamka watampeleka mahakamani waziri kwa kuisababishia hasara nchi?
 
Kakwapua nyumba za Serikali kwa kushirikiaka na fisadi Mkapa hasara kwa Serikali zaidi ya trillion, kakurupuka na kuvunja kituo cha petrol mwanza hasara kwa Serikali bilioni 4, kakurupuka na kuhifadhi tani 296 za samaki ambazo angweza kuamua kuhifadhi nusu tani tu na kisha kupiga picha tani zote 296 kama ushahidi wa kesi hasara kwa Serikali bilioni tatu, mgomo wa juzi hasara kwa Serikali bilioni moja na nusu. Huu ni ushahidi wa kutosha kabisa wa kuonyesha huyu mtu utendaji wake wa kukurupuka umekuwa ni mzigo mkubwa kwa Serikali. Nauliza tena baadhi hapa wanamuita Magufuli ni jembe, je kuna ushahidi upi wa utendaji wa Magufuli tangu awe Waziri hadii hii leo wa kuonyesha kama anastahili kuitwa jembe!? Hilo shamba, jembe alilima lini na wapi!?
Magufuli hakustahili baraza jipya | Gazeti la MwanaHalisi

 

Unaandika haya ukiwa hujalewa kweli? Nadhani humuelewi Magufuli vizuri! Huyo jamaa ni bonge la msanii na fisadi tu kama wenzake ndani ya ccm! Angekuwa na uchungu na nchi hii asingeuza nyumba za serikali!
 
ukweli hasara ni kubwa mno na itachukua muda mrefu sana mpaka pale hali ya usafiri na upakuaji bandarini kurejea hali ya kawaida kutokana na msururu wa magari ambayo vituo vile vya mizani vinashindwa kufanya kazi ya haraka kumaliza tatizo lililo sababishwa na Magufuli.
Hapa serikali inabidi ikubali kupoteza zaidi ili hali irejee haraka katika hali ya kawaida..
kwanza inatakiwa kuruhusu magari yote yaliopo kwenye foleni ya mizani yapite bila ya kupima hili litao ndoa presha ya foleni..ni kosa limefanyika inabidi kuingia hasara lakini kuokoa muda na kuokoa hali mbaya ya foleni bandarini
la pili ni kumwondoa magufuli nafasi yake au yeye mwenyewe awajibike kisiasa..
wazo hilo ni la lazima yaani turuhusu magari yote yaliyopo kwenye foleni yandelee na safari bila kupima.....tuokoe muda na hasara zaid
 

Magufuli ni fisadi na mbabe! Mimi huwa nina washangaa wanao mtetea wanapata wapi huo ujasiri? Pia ameliababishia taifa hasara kwa kuvunja mikataba ya wakandarasi kibabe na kinyume cha utaratibu na serikali ikalazimika kulipa fidia ya mabilioni! Kama kweli anasimamia haki na sheria mbona hakumlazimisha mkandarasi aliyetengeneza barabara mbovu ya jimboni kwake ( BWANGA - BUZIRAYOMBO) ambayo iliharibika kabla ya kukabidhiwa lakini alimruhusu mkandarasi akaondoka? Alimhonga shilingi ngapi?
 
Reactions: BAK
Mie nawashangaa sana wanaomtetea huyu halafu huwa hawana evidence yoyote ile zaidi ya maneno haya matatu, "Magufuli ni jembe" ukiwaambia walete ushahidi huwaoni tena!!! halafu huyu naye anatajwa tajwa kwamba anaweza kuwa mgombea wa CCM 2015!!!! Dah!!!! Kazi kweli kweli!!!!


 


Why this loser is still in the cabinet? :rant:

Ashtakiwe kama muhujumu uchumi.

Nonsense! Big one!
wewe ukikamatwa unabaka tutakufunga kwa miaka kadhaa, ukila na kunywa bila kujali utatumia shilingi ngapi.

Huna sababu ya kugeuza adhabu Kuwa pesa.

Kwa nini munakimbilia hasara ya kupakuwa mizigo Bandarini? Wauza mafuta walipogoma mbona hatukuambiwa hiyo hasara? Ache ni kampeni. Hii ni nchi inatakiwa iongozwe kwa taratibu na Sheria. Zikikosewa, zifuatiliwe siyo kipindi cha kampeni.

Wiki ijayo watakunya Ikulu yenu ndo muelewe madahara ya kudekeza watu wapuuzi.
 
Unaandika haya ukiwa hujalewa kweli? Nadhani humuelewi Magufuli vizuri! Huyo jamaa ni bonge la msanii na fisadi tu kama wenzake ndani ya ccm! Angekuwa na uchungu na nchi hii asingeuza nyumba za serikali!
Suala la kuuziana nyumba hata mimi siungi mkono.Je yeye ndie aliebuni mpango huo au ni mpango wa wote naye kuwajibika collectively?.Yeye si malaika pia ila angalau ni bora zaidi kati ya waliopo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…