Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Mkuuu...Wewe ndo mkweli kushinda watu wote duniani...mtu akija na shida anauguliwa Wewe kama Ni wakumsaidia utamsaidia. Sasa unataka uchunguze akupeleke alipolazwa MGONJWA ndo umsaidie...

Unataka ukweli usioshaka ndo utao msaada.
ndo nyie mke ukimpa buku mbili..ikibaki hamsini unaitaka na asipokupa Ni Tatizo.

Ubahili
 
Usiingize wazazi kwenye issue kama hizi. Utaanzisha ugomvi usio na faida.

Mtazamo wake hauna shida kama aliyayapitia yanaelezeka.

Kama wewe umetulia na unaridhika na uliyenaye, basi hongera
Mimi sichukii wanaume..au kuwaona wabaya eti kwakua nlipataga shida.

Naamini wapo wema kabisaaa...
 
Kwenye usaliti hadi wanaume wapo au unajaribu kusema kua ndoa zote zenye shida chanzo ni mwanamke?
Nadhani kila mtu (mume na mke) ajitafakari kwa nafasi yake jins gani ataboresha mahusiano au ndoa yake kuliko kutupiana lawama.
 
Mimi sichukii wanaume..au kuwaona wabaya eti kwakua nlipataga shida.

Naamini wapo wema kabisaaa...
Wanaume wema wapo wengi tu. Ila kuwapata ndio shida.

Hata wanawake wema wapo kwenye kuwapata ndio shida.

Unaweza ukakuta mwanamke mwema kakutana na mwanaume muovu. Atakachoweka kwenye akili yake ni wanaume wote waovu. Usiombe kila anapokutana napo ni paovu... basi ndio ataamini kuwa dunia nzima ndivyo walivyo.
 
So hivo lakini kuna mwingine unamjua kabisa huyu anacheza na akili yangu, na sio kwamba hadi nijue shida yake lakini kiukweli wanawake walio wengi washakuwa wahuni wahuni .
 
Kwenye usaliti hadi wanaume wapo au unajaribu kusema kua ndoa zote zenye shida chanzo ni mwanamke?
Nadhani kila mtu (mume na mke) ajitafakari kwa nafasi yake jins gani ataboresha mahusiano au ndoa yake kuliko kutupiana lawama.
nisawa ila asilimia kubwa ya wanaume akisaliti heshima na upendo upo pale pale kivumbi nyinyi sasa
 
Mtu anayemsaliti mume/mke wake na akamuonyeshea dharau za wazi huyo hana akili kabisa na ni mshamba. Siungi mkono kuchepuka maana mwisho wake hua sio mzuri ila tu muheshimu mwenza wako kama mtu umeshindwa kujizuia kutulia njia kuu.
 
nisawa ila asilimia kubwa ya wanaume akisaliti heshima na upendo upo pale pale kivumbi nyinyi sasa
Kuna wanaume wakipata pisi mpya basi ndo wanakesha huko nje, nyumbani wanarudi saa 8/9 huko usiku na yapo kwenye jamii yetu tunayaona.
Ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenzi wao.
 
Mwanamke adiporidhika na Mungu hakuna starehe yoyote duniani itamridhisha
 
Kuna wanaume wakipata pisi mpya basi ndo wanakesha huko nje, nyumbani wanarudi saa 8/9 huko usiku na yapo kwenye jamii yetu tunayaona.
Ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenzi wao.
nikweli kabisa mkuu wapo ila ni wachache mno na wengine wanafanya hivyo kutokana na mauzi ya nymbn
 
Hapa ndiyo kwenye shida kuu hapa (tukilielewa somo hili kwa upana wake hivi vilio havitakuwepo kama si kufutika kabisa)
 
Yeah hiyo hiyo

Si Chemistry kimsingi Mwanamke ni package [emoji403] kubwa kubwa hivi ambayo ndani yake inavitu vingi ving, Kwahiyo ukiichukua inabidi uwe tayari kujitahidi kuangalia kila kimoja

Si kazi nyepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…