Huezi mridhisha mwanamke kamwe

na sie tujitahd kuwatumia sana wakiwa na vishida vyao

Yaani mi nikisikiaga tu hata demu ambae tunajuana tu si wapenzi, akiniambiaga nitumie 5000 au nikopeshe 10000 ntakurudishia hata sikumbuki huwa nawapa jibu gani,, maana nasikiaga kama ukakasi vile.
 
Endelea kujilinganisha na wanawake, sie wanaume hatuna cha kupoteza

forever young
 
we mwanamke unaonekana una gubu sana
Mkuuu.... Mchukie Mama ako alokuzaa...kutuchukia sisi Wala haituongezai Wala kutupunguzia kitu..

Kama kufukua mitaro ndo kunaondoa chuki utafukua mitaro...Hadi kiama na Amani yaroho hutoipata
 
Endelea kujilinganisha na wanawake, sie wanaume hatuna cha kupoteza

forever young
Huo uforever Young...ndo unao wapumbaza mlivyo wapumbafu ..mnakazanaga mwanaume hazeeeki.Fyi Nguvu huisha . .uzee upo ..maradhi yapo namithani mingine ya maisha ipo...

Mnajikuta nguvu zimewaishia hamna chamaana mlichofanya zaidi yakufukua mitaro na kujaza mavi kwenye njia ya mkojo....


Tafakari usiende kibubusa juha Wewe
 
pole kwa kuachwa mkuu, nikukumbushe tu suluhu ya stress sio ulevi ,pombe sio chai kiongozi tulia tafuta mtoto mzuri zaidi yake kula maisha. na kwani unatafuta mwanamkee ili kumridhisha !!?
 
Kuna mwamba mmoja humu alisema wanawake wa jf wengi huwa wanakuwa na majibu ya hovyo, ya kihuni, ya kiburi na ya kipumbavu sana, sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini, ila nimeanza kuelewa sasa!
 
Kuna mwamba mmoja humu alisema wanawake wa jf wengi huwa wanakuwa na majibu ya hovyo, ya kihuni, ya kiburi na ya kipumbavu sana, sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini, ila nimeanza kuelewa sasa!
Kwaiyo...ulitaka nimsifie kwa kufukua mitaro..hayo ndo hua mnashangilia Sana..

Nikweli wanaume hua wanaamini hawazeeki..hivi mtu wa Miaka 18 Ni sawa na wamiaka 50...

Mkiambiwa ukweli mnakuja na hoja za tuna kiburi.

huyu mleta bandiko ajitafakari hayo matendo Yake..hayana msaada kwake..kwa kizazi chake Wala kwataifa..
 
Mkubwa umenena ukweli sana.



Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi


Ninakamua dem mmoja ambae jamaa yake anamnyonya kikojoleo na mimi nilimwambia siwezi thubutu ujinga huo,, bado ananiletea kitu nakikula vizuri tu. Anatamani nimuoe wakati nimeshamwambia nina mke.
 
Yeye anafurahia maisha, atake nini tena mrembo wetu!?
 
Hizi maneno tushazizoea.
 
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
Hajapendwa Adam pale Eden utanipenda ww bhn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…