HUENDI MBINGUNI

HUENDI MBINGUNI

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,485
Reaction score
8,667
Leo nimepata muda wa kusikiza kwa makini huu wimbo wa huendi mbinguni, simjui jamaa aliyeimba huu wimbo lakini lazima nikiri jamaa alifikiri mbali sana

Wimbo huu ungeimbwa na mojawapo ya kambi shindani bila shaka ungegonga viewers za kumwaga

Big up kijana uliyeimba wimbo huu.
 
Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

Assistant anaenda vizuri tu
 
Angalia pia video yake uone aliyekuwa anawaambia wenzake hawaendi mbiguni naye aliachwa pia hakuenda mbiguni kisa naye alitamani vya duniani hahaa
 
Nimeona mkuu. Jamaa anamaanisha wachungaji masheikh na mapapa wote wataachwa mbinguni hawaendi
 
Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

Assistant anaenda vizuri tu
Numbisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom