Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,141
- 36,950
- Thread starter
- #41
gentleman,Leo ongelea hata mema na mazuri yaliyosemwa na Rais
Kila siku wewe uko na chedema tuuuuuuuuuuuuu
Hao hawana ishu, ulishasema chama kifutwe,
Hawana mbunge, hawana Diwani hawana mtu yoyote mwenye say yoyote
All the time uko busy na chadema tu
Unasahau mpaka mazuri mengine yanayofanywa na serikali yako ambayo watu hawayajui
ni muhimu sana kufuatilia jambo hilo kwenye maandiko mengine jukwaani gentleman na itapendeza zaidi 🐒