Huenda kuna mgomo baridi ndani ya CHADEMA

Sema ninyi ni wepesi sana kusema Wanachadema wana matusi, onyesheni wametukana wapi. Hamna
kwamba huoni au unajaribu kutakatifuza matusi ya chadema gentleman dhidi ya wenye maoni tofauti na yao?🤣
 
gentleman,
ni muhimu kueleza kulikoni milioni mia3 tu zinaitoa jasho chadema?
Kuna mgomo au ni ufisadi wa heche?

huna haja ya porojo zaidi kinyume na hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi šŸ’
Narudia tena kuwa hakuna mwana cdm mwizi was rasilimali za taifa.
 
kwamba huoni au unajaribu kutakatifuza matusi ya chadema gentleman dhidi ya wenye maoni tofauti na yao?🤣
Unaanzaje kuishuari cdm wkaati ndani ya chama chetu kumejaa majizi ya rasilimali za taifa letu?
 
Mleta mada you're obsessed with whatever is going on in CHADEMA, it's not healthy for your brain, soon you'll end up having Obsessive-Compulsive Disorder.
 
Project ya CCM imefeli!
 
Attachments

  • FB_IMG_1785738853419.jpg
    FB_IMG_1785738853419.jpg
    87 KB · Views: 4
Mleta mada you're obsessed with whatever is going on in CHADEMA, it's not healthy for your brain, soon you'll end up having Obsessive-Compulsive Disorder.
ok .🦬
 
Hivi milioni mia3.34 ni za kuwatoa jasho kweli my friends, ladies and gentlemen?

Kulikoni chadema chadema wawe wagumu kiasi hiki kwenye kuchangia pesa kwaajili ya chama chao, lakini ni wepesi sana kutukana na kuporomosha matusi wakitetea chama hicho?

There must be something wrong somewhere within chadema circle. What do you think is in between?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Kwako mkata viuno Bora kabisa hapo lumumba vipi ushajifungua au bado mama kija ?
 
Hivi milioni mia3.34 ni za kuwatoa jasho kweli my friends, ladies and gentlemen?

Kulikoni chadema chadema wawe wagumu kiasi hiki kwenye kuchangia pesa kwaajili ya chama chao, lakini ni wepesi sana kutukana na kuporomosha matusi wakitetea chama hicho?

There must be something wrong somewhere within chadema circle. What do you think is in between?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Nenda kawakamate uwafungulie kesi za ugaidi.
 
Hivi milioni mia3.34 ni za kuwatoa jasho kweli my friends, ladies and gentlemen?

Kulikoni chadema chadema wawe wagumu kiasi hiki kwenye kuchangia pesa kwaajili ya chama chao, lakini ni wepesi sana kutukana na kuporomosha matusi wakitetea chama hicho?

There must be something wrong somewhere within chadema circle. What do you think is in between?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
KUKISHAKUWA NA DOUBT JUU YA UFISADI MARA NYINGI HILI NI TATIZO,NIMEWAPA USHAURI MARA NYINGI LAKINI NAONA YULE AMBAYE ANAHISIWA KUFISADI AMEGOMEA KITI HATAKI KUKIACHIA KAMWE!
 
Fedha halali, lazima utoke jasho,za kufisadi hutokei jambo ni mwendo wa unafiki tuu!
 
KUKISHAKUWA NA DOUBT JUU YA UFISADI MARA NYINGI HILI NI TATIZO,NIMEWAPA USHAURI MARA NYINGI LAKINI NAONA YULE AMBAYE ANAHISIWA KUFISADI AMEGOMEA KITI HATAKI KUKIACHIA KAMWE!
Ungewapa ushauri alipo pole pole,ningekuona wa Maana,mtu ni Bora kuliko Hela .
 
Hivi milioni mia3.34 ni za kuwatoa jasho kweli my friends, ladies and gentlemen?

Kulikoni chadema chadema wawe wagumu kiasi hiki kwenye kuchangia pesa kwaajili ya chama chao, lakini ni wepesi sana kutukana na kuporomosha matusi wakitetea chama hicho?

There must be something wrong somewhere within chadema circle. What do you think is in between?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania

Leo ongelea hata mema na mazuri yaliyosemwa na Rais

Kila siku wewe uko na chedema tuuuuuuuuuuuuu

Hao hawana ishu, ulishasema chama kifutwe,

Hawana mbunge, hawana Diwani hawana mtu yoyote mwenye say yoyote

All the time uko busy na chadema tu

Unasahau mpaka mazuri mengine yanayofanywa na serikali yako ambayo watu hawayajui
 
Umempa za uso, atakuja na nosense, gentleman!
 
Back
Top Bottom