Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,837
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania