Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,554
- 12,674
anguko wakati ndo anazidi kujiimarisha Afrika, tena itakua ana mpango wa muda mrefu saana kwenye hili baraNaona anguko la wachina kama wataendeleza tamaa zao
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kabisa. Mchina akiichukua ccm ndiyo itakuwa poa sana.
anguko wakati ndo anazidi kujiimarisha Afrika, tena itakua ana mpango wa muda mrefu saana kwenye hili bara
US wanatakiwa watumie hiyo sababu kuingia Africa kwa nguvu
Waanze na Mwenyekiti wake kwanza hawa wengine hatuna shida nao ni njaa na midomo ndio inawaponza.Mchina aje aichukue na CCM kabisa tutampa bure