Huenda Kampuni Ya Umeme ya South Africa, Eskom Ikachukuliwa Na Wachina Wakishindwa Kulipa Mkopo

Atakapoanza kuchukua vitega uchumi vya nchi za Africa kutokana na ufisadi na ujinga wa viongozi wetu basi...

Watatatokea tena wanamapinduzi na kuanza kupigana vitega uchumi vyao

Umukonto wesizwe inaweza kurudi tena
anguko wakati ndo anazidi kujiimarisha Afrika, tena itakua ana mpango wa muda mrefu saana kwenye hili bara

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hizi fake news huwa mnaziokotea wapi? Kwanza ilianza zambia ikafata kenya now south africa hebu jiongezeni wakuu!! Usawa huu nchi za magharibi zinatumia influence yao ya media kueneza propaganda zao dhidi ya china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom